Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

Kwani cc wanaume hatujasomeshwa na baba zetu?.wanawake wanaroho flani za kuwa na wasiwasi na waumezao.wangeliamuaga jambo 1 tu kukaa tu kwao na ndg zao wakatafuta wanaume wa kuwazaliasha tuu ili waenjoy maisha wanayotaka
 
Tuishi nao kwa akili! Chunguza zaidi yaweza tokea wewe ukaandika mkopo ukaulenga kuboresha familia yenu ( wewe mke na watoto) chunguza mkopo wake atauelekeza kusaidia / kujengea wazazi wake! Hawa ndio wanawake zetu, TUISHI NAO KWA AKILI
Unebahatika kupata mtoto?
Je umemsomeshha?

Je huoni fahari mwanao wakike akikusaidia?

Au utajisikiaje mtoto wako wa kike uliyemgharamia akija kuolewa au kuwa na familia yake umuombe chochote na akakunyima...?
Fikiria kama mzazi na usifikiri tu kama vile ni ka girlfrend kako
 
Sambamba na yote hayo uliyoongea Mimi binafsi nimekuelewa mnoo. Nitatekeleza ushauri wako Mzee.
 
Kwani next of kin inahusiana nini na urithi. Mimi ninachojua ni kwa ajili ya dharura, ikitokea ajali etc watu wa karibu kuwapata. Mambo ya mirathi mmoja wa mwenza akifa yanatuliwa na sheria ya mirathi.
 
Kashakusoma una tamaa kijana endelea kuishi tu. Anyway aandike wangapi Kuna wewe ana kiben ten na kijamaa kipo nae ofisi moja bora aandike mzee wake kukata mzizi wa fitina.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daahh pole sana

Hadi hapo nadhani umeshaijua rangi ya huyo mkeo , kama Mimi ndiye wewe nakwenda kubadilisha na ya kwangu haraka sana
 
Weww pia badilisha weka wazazi wako na watoto wako then mfanye auone
 
Yaani shda inakuja pale ambapo mmoja akitangulia mbele ya haki, akitangulia mke Mme Hana shda coz hakuna atakayefatilia Mali zilizobaki lakini akitangulia Mme kama hakuna nyaraka za urithi ndugu wa Mme huja juu kiasi hata cha kumfukuza kwenye nyumban yake, nawatoto hubaki ktk shda kama mama hajiwez kiuchumi, Mali zote hugawana ndugu, so no afadhali uwaandike mke na watoto , maana ukiwaandika watoto bila mke ndugu wa mume wanaweza kumchukua Mali wakisema watoto tutawalea na kwamba Mali wanazisimamia matokeo yake hua tofauti, so ata usiumize kicwa acha kma ulivyoandika Kwa manufaa ya watoto wako bila kujali Mali za mke wako
 
Kwani next of kin inahusiana nini na urithi. Mimi ninachojua ni kwa ajili ya dharura, ikitokea ajali etc watu wa karibu kuwapata. Mambo ya mirathi mmoja wa mwenza akifa yanatuliwa na sheria ya mirathi.
Kuna mwanasheria nilimsikiliza alisema aliyeandikwa namarehem kama mrithi huyo ndiye mrithi atakayetambuliwa, na kama hakuandika mrithi basi warithi ni mke na watoto, lakini watachgua mtu wakusimamia hizo Mali kutoka katika ukoo nahapa ndipo tabu huanzia, maana wasimamizi wengi hua sio waaminifu
 
Huna ndoa mnavumiliana tu. Kuna mjanja pia anampiga miti mke wako.
 
Nadhani wosia ndio unatambulika kisheria. Ofisini sijui kama kuna mambo ya kuandika mrithi wako. Labda huko serikalini. Ofisini kwetu kiinua mgongo anapewa mwenza wako tu, kama amefariki wanapewa watoto. Hizo za NSSF ndio hawahusiki nazo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli mwanamke ni self centered being. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo mwanaume kazaliwa na degree mkononi. Privilege unazopewa mwanamke usiwe too much entitled nazo ni huruma tu, tumeona wanawake waliofanya upumbavu usioweza kuuamini. Hakuna jinsia isiyopitia makuzi, malezi na shida. Haupo peke yako duniani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajiangaisha bure tu, wewe ndio utaanza kufa na yeye ndio mrithi hata usipomuandika kwenye makaratasi, mahakamani mirathi atapewa mke wako na watoto.

Nina uhakika mkubwa wewe ndio utatangulia kufa mke utamuacha.
Huku ni kumchawia mwenzako sasa[emoji23][emoji23]
 
Asipoelewa hapa basi tena

Heri uachie upande wako mke wana uchungu na wanao kuliko mtu mwingine yoyote upande wa kiumeni
 
Ww ndo hujui mtu wa karibu wako ni mume au MKE kama una ndoa! Hata kwenye urithi ndo huyo anaeangaliwa kwanza !mtu alieowa akifiwa na mumewe mrithi wa kwanza ninmke wake awe ameandikwa au la! Kwa wanaume ndo hivyo hivyo akifa mkeo hata kama hakukuandika kama mtu wako wa karibu au mrithi lazim a Sheria ikutambue tu! Kama unaishi na mke na bado hakufanyi kuwa mtu wake wa karibu ujue Kuna shida ! Na wengi waliofanya hivyo ndoa zao zina shida! Wale ambao wako vzr waliwaandika wenzi wao
 
Anamjua mtu wake
Au kampiga tukio mke so hajiamini
 
Ndio shida ya baadhi ya ndoa za kufosi
 
Sio ubinafsi
Ni nature
Wanaume wanaoa fasta sn wakifiwa
Tofauti na KE
Ndo mana kuna Mungu wa wajane na yatima na sio waume waliofiwa
 
Sio ubinafsi
Ni nature
Wanaume wanaoa fasta sn wakifiwa
Tofauti na KE
Ndo mana kuna Mungu wa wajane na yatima na sio waume waliofiwa
[emoji23][emoji23] kwa hyo hakun Mungu wa wagane mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…