Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Wewe ushawahi uliwa na pakapaka unaweza ukamuua ma yeye piah anaweza akakuua vizur tu lkn piah paka ni rahis kumuua nyoka koboko sababu n paka anauwezo wa kuona mkubwa sna...nyoka akijaribu kushambulia kwa kasi paka anamuona kama unavoona slow motion ya vidio ndo maana anamzaba makofi na makucha mpaka anaded😂🤣😅😆😁😄
