Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa.

Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM

Kwa nini hawajajiuliza lilie kundi la wana CCM ambao walikatwa majina yao kugombea nafasi mbalimbali lilihusika na maandamano?

Hii habari kuwa maandamo yaliratibiwa na wataalamu itasaidia nini?
 
Propaganda za miaka ya 80 CCM inazifanya miaka hii.
 
Kuna mtu aliwah niambia internet ingekuwepo Toka miaka ya tisini ,CCM isingekupewepo.
 
Kuna mtu aliwah niambia internet ingekuwepo Toka miaka ya tisini ,CCM isingekupewepo.
He was right, ile uharaka wa kupatikana kwa taarifa back then ulikuwa mgumu, source ilikuwa serikali alone. So it was easy kudanganya au ku control narratives

Ila miaka hii its very very hard to do that
 
Back
Top Bottom