Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kwahiyo mnaosema ni uhakika je watu wataenda kizimkazi kutoa pole na salam za rambirambi kama mwanzo?Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.
Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"
Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Toa toa toa Ngoma mwana,kwani maneno kifo ni kifo na kila mmoja atakipitia hujasikia?Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.
Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"
Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
hahahaha,babu yake hana hela kama chivayoUmeshindwa kumuimba babu yako umuimbe Chivayo ambae hata hakujui.
Hapana kaka hakina nia mbaya, Wala hakidhalilishi mkuu, i was just appreciating a manDah...... Kifute tu.
Maana mtu mfu hajui neno lolote muwekepo YESU
Pole ulitaka nikuimbe wewe kafuku kaulananga🤣Umeshindwa kumuimba babu yako umuimbe Chivayo ambae hata hakujui.
Hapana madamKipindi unakiandika ulituuliza?
Hayo siyajui mkuu nacho jua huyo alikua mwekezaji nchini kwetu mengine siyajui kakaKwahiyo mnaosema ni uhakika je watu wataenda kizimkazi kutoa pole na salam za rambirambi kama mwanzo?
Umenipa energy na power kwa pamoja, usiwazee ach nimalizie studio session kureview ninawekeza big thing kuliko ili nianze na kufanya shows mikoani msiniangushe kwenye kusambaza ngoma yangu wakuu, nizichape show za chaka tu chaka, mlango tu mlango usipo fungua dirisha tu dirisha hadi waseme pooooooToa toa toa Ngoma mwana,kwani maneno kifo ni kifo na kila mmoja atakipitia hujasikia?
anaeza kuokota sio?chochote kituOndoa "Chivayo" weka "Mo"
Pendeni vya kwenu
Babu yangu pia alikua legend sababu alipigana vita vya Kagera akiwa kamanda kiongozi, nisha muwakilisha yeye kwenye jina lake ndio talo litumia ili kumuenzihahahaha,babu yake hana hela kama chivayo
ooh sawa sawa,imekaa vzr,hongera, kila la kheriBabu yangu pia alikua legend sababu alipigana vita vya Kagera akiwa kamanda kiongozi, nisha muwakilisha yeye kwenye jina lake ndio talo litumia ili kumuenzi
Hai sound kaka, mziki atuimbi tu ovyoo inabidi uimbe kitu kinacho sound freshOndoa "Chivayo" weka "Mo"
Pendeni vya kwenu
Kama Uncle Zala tu 😅anaeza kuokota sio?chochote kitu
Huoni vina kati na mwanzoHai sound kaka, mziki atuimbi tu ovyoo inabidi uimbe kitu kinacho sound fresh
hahahaha,hii fursa naomba aione ,asiiacheKama Uncle Zala tu 😅
Mo atamjaza mahela akisikia hiyo hit song