Mcheki Bill Sepenga wa EATV, yule ukimpatia hela ya wine anaweza kukusaidia kukupa connection ya hayo maeneoWe tena kaka siwezi kukusahau sema shughuli ya kusambaza sehemu mbalimbali ndio kasheshe kama clubs, redio tv nk
Nimemkumbuka muke ya Onesmo Ngolo.Kipekee itoshe kusema mtoa mada apumzike kwa amani cc secretarybird zee la odiliiiiii
Alikuwa mrembo ghai yule alikuwa km machache na JackNimemkumbuka muke ya Onesmo Ngolo.
Sana tu!Alikuwa mrembo ghai yule alikuwa km machache na Jack
Ila mage shayo hakuwa wa kitoto na odiliiiiii kipenzi Cha ndege mdinyaSana tu!
Yule umbo namba nane acha kabisa.Ila mage shayo hakuwa wa kitoto na odiliiiiii kipenzi Cha ndege mdinya
Ukiweke au ukitoa, what's the difference?Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.
Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"
Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Je chura 😅 alikuwa na mzgo mpk baaasi embu waambie uchagani kulikuwa na fivaaa 😅Yule umbo namba nane acha kabisa.
Kama hawajui basi wanakosa mengi.Je chura 😅 alikuwa na mzgo mpk baaasi embu waambie uchagani kulikuwa na fivaaa 😅
Usifute, ila sasa muenziDah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.
Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"
Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Umeshawahi kuona nyani waliofiwa wamepewa pole?Usifute, ila sasa muenzi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.
Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale
Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.
Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!
Rip Bonge za Zimba
Mzee Pasco.
Hao wanaitaji pesa ndugu namimi kwa sasa napitia kipindi chenye mambo mengi ikiwemo biashara zangu ili niweze kusimamisha nje ya mziki in short hao wanaitaji pesa kakaMcheki Bill Sepenga wa EATV, yule ukimpatia hela ya wine anaweza kukusaidia kukupa connection ya hayo maeneo
Lakini jitahidi mkwaju uwe mkali
Kama utaweza mcheki Kussah akuimbie chorus
Hamna tatizo sija muimba vibaya nilihofia tu mitazamo ya watuUkiweke au ukitoa, what's the difference?
Ahaaaaa poa poa kakaAlafu sio nyimbo ni wimbo
Aha poa boss, mama Samia ni mdau wangu kwenye mziki hivo si mbaya, mkuu asanteToa tu jina chivayo weka samia
Sawa, Kila la heri MkuuHao wanaitaji pesa ndugu namimi kwa sasa napitia kipindi chenye mambo mengi ikiwemo biashara zangu ili niweze kusimamisha nje ya mziki in short hao wanaitaji pesa kaka