Hiyo ndiyo DEMOKRASIAkwanza waliokuwepo ukumbuni ni wanachama na ndio walioshangilia sio waandishi ila sema hujapendezwa na waandishi kwenda kwenye press ya lissu! roho inakuhangaika! Pili sio lazima mwandishi wa habari ujue kila kitu at the same time
Waandishi wa bongo 90% wamefeli shuleKitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.
Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
We nichawa wambowe tume kuelewa ovaKitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.
Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
Lucas nani kashika kifaa chako cha kuingilia JF😃Mimi naona wewe ndiye mjinga na mweupe ambaye umeshindwa hata kuweka hiyo nukuu.Inaobekana umechanganyikiwa kabisa
Basi hunifahamu vizuri. Anza kazi upya ya kunichunguza ili unielewe vema.We nichawa wambowe tume kuelewa ova
Lucas Mwashambwa atakuwa anabubunikwa na machozi baada ya tangazo la LisuLucas nani kashika kifaa chako cha kuingilia JF😃