Kwenye press ya Lisu nimejiridhisha kuwa waandishi wengi ni weupe kichwani, waliposhangilia nukuu ya Nyerere.

kwanza waliokuwepo ukumbuni ni wanachama na ndio walioshangilia sio waandishi ila sema hujapendezwa na waandishi kwenda kwenye press ya lissu! roho inakuhangaika! Pili sio lazima mwandishi wa habari ujue kila kitu at the same time
Hiyo ndiyo DEMOKRASIA
 
Hotuba za Nyerere zinasisimua hata kama uliwahi kuzisikia. Kuna nyimbo zikipigwa watu hushangilia hata kama waliwahi kuzisikia.
 
We nae na hao the so called waandishi akili zenu ziko sawa..sasa bongo kuna waandishi wa habari kweli,waandishi wenyewe ni hawa wa calibre ya kitenge na zembwela?
 
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??

Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.

Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
Waandishi wa bongo 90% wamefeli shule
 
We nichawa wambowe tume kuelewa ova
 
..mwandishi wa habari hatakiwi kushangilia wakati wa kazi yake.
 
Back
Top Bottom