Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishasema low church. Hivyo ndivyo linapaswa kuwa sasaDah! Kama Kanisa la Anglikana, kuna maeneo unaweza ukadhani ni Kanisa la Kilokole! Yaani ni full sebene. Wanaita sijui low church! Tofauti kabisa na Kanisa la Anglikana la Tanga.
Hakika misingi ya Kanisa lazima izingatiwe. Mambo ya kuligeuza Kanisa kama mali yako, unaendesha ibada zilizo kinyume na tamaduni za Kanisa; si sawa hata kidogo.
hayo mambo huwezi kuyaleta kanisani,ila kanisani utahubiriwa kuwajali watu hao, kwa hiyo nijambo la mtu binafsi na uelewa wake wa neno la mungu. la sivyo tukilibebesha kanisa mzigo huo duuh, bahasha/vikapu vitakuwa vingi sana mwisho wa siku naamini unajua kitakachotokeJe tunawakumbuka
Yatima
Wajane
Wagonjwa
Wenye uhitaji mwingine?
Ndiyo maana ya huduma na dini safila sivyo tukilibebesha kanisa mzigo huo duuh, bahasha/vikapu vitakuwa vingi sana mwisho wa siku naamini unajua kitakachotoke
Wewe ndo huelewi nilichoandika, rudia tena kusoma vizuri...Ulichoandika hakieleweki. Kama anataka kufikisha injili kwa mataifa kama unavyotaka iwe ajitoe KKKT, akawe huru kuhubiri bila kufungwa na tamaduni hizi, simple.
Usijitoe ufahamu wewe unayemtegemea binadamu ambaye anaweza kuwepo leo na kesho asiwepo. Anayemtegemea Mungu ni yule aliye tayari kumpokea mtumishi yoyote atakayetumwa kuhudumu katika usharika wake. Vinginevyo ni ukosefu wa utii kwa viongozi wa kanisa waliowekwa wakfu. Na hilo ni chukizo kwa Bwana.Wewe ndo huelewi nilichoandika, rudia tena kusoma vizuri...
dini ni kitu tofauti na kanisa, dini inafundisha tuyatende hayo sisi kama jamii, lakini haielekezi makanisa yafanye hivyo!!!!. ningefurahi kujua wewe kama una bajeti ya kufanya hayo kwa makundi yote uliyoyataja, kama unafanya basi dini na mungu umewaelewa na kuwashika vizuri, hukulitii kanisa, umemtii mungu na dini yakoNdiyo maana ya huduma na dini safi
Dini safi siyo kumneemesha Mchungaji
Huo utaratibu umeletwa ili kuwafanya watu watoe sadaka kwa woga. Kwamba nikitoa kiasi kidogo nitadhalilika. Ndio yale yale ya wenye 5000 walete niwabariki, kisha wenye 10000 walete niwabariki, mara wenye 100,000. Yaani ni kama baraka inauzwa na zina makundi.Nilichukiwa sana na ninaendelea kuchukiwa sana na kiongozi pamoja na wenzangu kanisani ninapouliza jambo hili
UmenenaHuo utaratibu umeletwa ili kuwafanya watu watoe sadaka kwa woga. Kwamba nikitoa kiasi kidogo nitadhalilika. Ndio yale yale ya wenye 5000 walete niwabariki, kisha wenye 10000 walete niwabariki, mara wenye 100,000. Yaani ni kama baraka inauzwa na zina makundi.
Kiukweli nasema, natumia sehemu ya kipato changu kusaidia wajane, wagonjwa, yatima na wengineo wenye shida mbalimbaliningefurahi kujua wewe kama una bajeti ya kufanya hayo kwa makundi yote uliyoyataja, kama unafanya basi dini na mungu umewaelewa na kuwashika vizuri, hukulitii kanisa, umemtii mungu na dini yako
guud kabisa na ubarikiwe, kwa moyo huohuo jitahidi kuwashawishi na wengine utembee nao pamoja kwenye njia hiyo. pia tumia kanisa kutoa ushuhuda wa jambo unalolifanya naamini kuna watu wataguswa na kukuiga. pengine mnaweza kujikuta ndani ya kanisa mna kikundi chenu kwa ajili ya jambo hilo. UBARIKIWE SANAKiukweli nasema, natumia sehemu ya kipato changu kusaidia wajane, wagonjwa, yatima na wengineo wenye shida mbalimbali
Kwa hiyo Mtume Paulo alimchukiza bwana kwa kutokutii taratibu za dini ya kiyahudi na kujikita kumhubiri Yesu Kristo kinyume na mafundisho ya dini ya kiyahudi, si ndiyo?Usijitoe ufahamu wewe unayemtegemea binadamu ambaye anaweza kuwepo leo na kesho asiwepo. Anayemtegemea Mungu ni yule aliye tayari kumpokea mtumishi yoyote atakayetumwa kuhudumu katika usharika wake. Vinginevyo ni ukosefu wa utii kwa viongozi wa kanisa waliowekwa wakfu. Na hilo ni chukizo kwa Bwana.
Acha mbwembwe, kama hatii taratibu za kanisa zinazolifanya liwe hapo lilipo leo aondolewe tu. Utapamba kwa kila mbwembwe, lakini kutokutii ni dalili ya kiburi kinachokemewa sana kwenye Biblia.Kwa hiyo Mtume Paulo alimchukiza bwana kwa kutokutii taratibu za dini ya kiyahudi na kujikita kumhubiri Yesu Kristo kinyume na mafundisho ya dini ya kiyahudi, si ndiyo?
Kwa hiyo Mtume Paulo alikuwa mtu wa kibri?Acha mbwembwe, kama hatii taratibu za kanisa zinazolifanya liwe hapo lilipo leo aondolewe tu. Utapamba kwa kila mbwembwe, lakini kutokutii ni dalili ya kiburi kinachokemewa sana kwenye Biblia.
Hata kule kwetu Bukoba kwa wacatholic ni ngumu sana padri au askofu ukute ni kabila jingine maana ibada nyingi kule mpaka bible imeandikwa kwa kihaya! Kwanza ukija ukajofanya wewe kiswahili kingi waumini kwenye Misa/ibada zako hutowaonaHuko Kaskazini huwa wana utaratibu wa kuendesha ibada zao kwa lugha zao za kikabila, (kama umewahi kwenda huko Moshi hata kwa msiba utakuwa unajua) sasa unataka Mmakonde akawe mchungaji huko Moshi au Mbeya atahudumia vipi usharika wake?
Usipotoa michango siku ukikata moto hawaji kukuzika. Ndo vitisho vyao hivyo. Na watu wana hamu ya kuzikwa na kwaya na mahubiri ya mapasta na maaskofu utafikiri inawasaidia cho chote. Sad!Kwani mkuu umelazimishwa kutoa michNgo Yao wew nenda kanisani bhna kamuabudu mungu ,watu na michango Yao achanao kwani hawalazimishi na Kama umebarikiwa wape mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna watu wagumu kuelewa! Kipindi cha Musa Mungu alitoa kiwango cha sadaka kwenye kila hitaji, mfano kila mwisho wa mwezi njoo na mbuzi Jike na njiwa au ukitaka kufanya kitubio cha dhambi njoo na ng'ombe wawili. Kama ingekuwa sasa angesema njoo na laki 3 ili upate ondoleo la dhambi; sasa nashangaa mtu akipewa bahasha aweke elfu 5 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ibada anaona ni jambo geni kumbe tatizo ni yeye hasomi andiko.Umeshindwa tu kuelewa maandiko, wewe ndio hutakiwi kutangaza sadaka yako, itoe kwa Siri, Ila yanayoendelea baada ya wewe kutoa si juu yako. Yule mjane alitoa sadaka kwa Siri, Ila Yesu aliitangaza hadharani, kumbuka Yesu alisimama kwenye chombo Cha sadaka, akiangalia kila anaetoa, na Katia sh ngapi!!!!! Na sijui nani alimpa kazi hiyo!!!!!!! Naam hata leo Yuko Mbele ya chombo Cha sadaka, anaangalia umetoa sh ngapi.