Kwenye siasa au harakati unaweza shangaa we ndo mtaji wa Wengine! Tumia akili zenu vema

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
TANZANIA BWANA
-Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kujipatia Pesa!
-Machawa wanatumia wanasiasa wanaotumia matatizo ya wananchi kujipatia, nao kujipatia Pesa!
-Wanaharakati baadhi nao wanatumia matatizo ya wananchi na wahanga baadhi kujipatia fursa!
Usimuamini sana mtu!

Ukiangalia Kwa umakini asilimia kubwa hawapo kupigania wananchi

Kimenuka kwa jirani

Britanicca
 
Chanzo cha haya yote ni uongozi mbovu. Tukiweza kuwa na uongozi mzuri mambo yote yanukuwa muruwa.
 
Back
Top Bottom