britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kweli kabisa!-Wanaharakati baadhi nao wanatumia matatizo ya wananchi na wahanga baadhi kujipatia fursa!
Usimuamini sana mtu!
Chanzo cha haya yote ni uongozi mbovu. Tukiweza kuwa na uongozi mzuri mambo yote yanukuwa muruwa.TANZANIA BWANA
-Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kujipatia Pesa!
-Machawa wanatumia wanasiasa wanaotumia matatizo ya wananchi kujipatia, nao kujipatia Pesa!
-Wanaharakati baadhi nao wanatumia matatizo ya wananchi na wahanga baadhi kujipatia fursa!
Usimuamini sana mtu!
Ukiangalia Kwa umakini asilimia kubwa hawapo kupigania wananchi
Kimenuka kwa jirani
Britanicca
OkayChanzo cha haya yote ni uongozi mbovu. Tukiweza kuwa na uongozi mzuri mambo yote yanukuwa muruwa.
Mkuu leta bandiko uponye taifa we have reached in the paradox that can't be solvedOkay