Kwenye Siasa chochote kinaweza kutokea RC Paul Makonda anaweza kutumika kwenye Uchaguzi na baadae akaachwa

Kwenye Siasa chochote kinaweza kutokea RC Paul Makonda anaweza kutumika kwenye Uchaguzi na baadae akaachwa

Kwanza kwa nini Daud Albert Bashite yupo hai mpaka leo? Mimi nashangaa kwa kweli
Muulize mungu,usitushilikishe kwenye upumbavu wako sisi,suala la nani awe hai na nani afe,ni la mwenyezi mungu.wewe kama una uwezo huo endelea nalo.
 
Wakati tunaendelea kumpongeza aliyekuwa RC wa Mkoa wa Dar Es salaam kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu NEC CCM itikadi na Uenezi ni vema pia tukafikiria pande zote mbili.

Bila kuanza kukumbushia kilichofanya atengwe kwenye utawala wa awamu ya tano naomba tujikite kwenye fikra hizi.

Mwaka 2014/2015 kulikuwa na vijana waliokuwa na nguvu sana ndani ya Team za CCM. Vijana hao mmoja wao alishika nafasi ya Nne au ya tano kwenye Uwaniaji wa kugombea Urais. Hii kwake ilikuwa ni mafanikio makubwa sana kufikiriwa kuwa ndani ya team ya wawania Urais.

Vijana hao walikuwa wanaogopwa sana kwa influence zao na makundi yao.

January Makamba alivuma sana kila kona mitandaoni na mitaani. Ilifika mahali watu wakamwita he ia very Bright and Inteligent( mimi sikuwahi ona sifa hizo kwake).

Wakqti huo huo Mh Nape Nauye alikuwa hoti sana kwenye siasa za majukwani. Yaani ilikuwa huwezi kufanikiwa ndani ya ccm kama huna linki ya Nape na Januari.....hilo wanalijua.

Vijana hawa wakiwa na wengine kibao walipambana kuhakikisha Uchaguzi wa 2015 Ccm haiondoki madaraka. Kuna serekasi nyingi zinatajwa zilitekelezwa na hwa jamaa ambazo wanaamini ndizo ziliokoa Mgombea wao akashinda uchaguzi.

Baada ya pale mnajua kilichofata?
Matarajio yao kama wapambanaji yalienda kombo. Wakaanza kususa. Kwa kuwa Mkuu wa Nchi alikuwa haangalii mtu usoni akawaacha kama walivyo. Akawatupia japo makombo kidogo.

Wakatulia, na bado wakataka kujiona wao ndio wao. Akawwacha mazima. Sote ni mashahidi.

Sisi tunaompongeza RC Makonda tunamkumbusha pia ajitafakari kwa nini kipindi hichi. Yakimtokea ya akina Nape na Makamba jr asiseme hatukumkumbusha.

Dpw.
Kura za Wasukuma zinatafutwa kupitia teuzi za vipenzi vya Magufuli. Kilitafutwa cheo cha unaibu PM akapewa Biteko, sasa imekuja zamu ya Bashite, itafuatia Mpina, Kalemani, n.k.

Watatumika mwaka 2024 & 25, malengo yakitimia zitaanza tena siasa za mawaziri mizigo na watendaji wasio kuwa na tija ndani ya chama kujitathimi na kujivua gamba. Wazee wa Pwani na mwambao wana visa!?

Karibuni DP World, ofa ya kujengea watu misikiti imekaa poa tu. Kwa kuwa hilo ndilo hitaji la wana CCM wengi hivi sasa hapa nchini. Vipengele vilivyolalamikiwa ndani ya mkataba mama wa IGA vimefanyiwa mabadiliko, ama tumepigwa changa la macho la utiwaji wa saini wa baadhi tu ya mikataba ya HGA.
 
Ni Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi sababu kwa Sasa Kuna Makatibu wa Itikadi na Uenezi ambao wameajiriwa huko Mikoani , kwa hiyo Makonda ndio Katibu muenezi mkuu
Katibu mkuu wa ccm ni mmoja tu wakuu wa idara wanaitwa makatibu wa idara husika,pia kuna makatibu wakuu wa kumuita tatu yaani vijana,wazazi na wanawake.
 
Watatumika mwaka 2024 & 25, malengo yakitimia zitaanza tena siasa za mawaziri mizigo na watendaji wasio kuwa na tija ndani ya chama kujitathimi na kujivua gamba. Wazee wa Pwani na mwambao wana visa!?
This is expected
 
Pole paskali
Mkuu Kadhi Mkuu 1 , asante!.
hii CCM hii!
CCM ndio chama chetu, kina wenyewe, na wenyewe ndio sisi!. Chama chetu hiki sio tuu ni chama cha siasa, bali pia ni chama dola, CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! ndio maana tunawashauri Watanzania wote siku zote waendelee kukichagua CCM kwasababu ndicho chama pekee cha kuwaletea maendeleo ya kweli Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. ila pia kuna baadhi ya maeneo yenye changamoto, hivyo kulazimika CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali? hivyo CCM itatawala milele!.
Kwanini hauteuliwi?
Jf ilipoanzishwa ilidhamiria kuwa the home of great thinkers!, but as times goes by, simple minds na ordinary minds wakajazana, hawa simple minds na ordinary minds ndio wakinisoma wanadhani mimi natafuta teuzi!. Thanks God, the great minds, japo ni wachache, they know what I stand for!. Ukiondoa practice my rights kugombea nafasi yoyote ya uongozi, sitafuti uteuzi wowote wa huruma au wa hisani kwa yeyote, na kwa vile mteuzi mkuu ni Mama, nimeisha mtumia ujumbe huu Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
 
Back
Top Bottom