Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

Ndio maana tuanasema siku tu Zanzibar ikijitenga kesho yake wanakuwa chini ya OMAN.
 
Wao pamoja na mambo mengine watanunua hewa ya carbon ,pia waoa Wana wajibu wa kutoa pesa tutunze misitu maana kwao huko wanaishi Kwa kutegemea misitu yetu ,tukiiharibu wanakufa fasta.
Wewe tushakujua, kwa siku unaanzisha nyuzi lukuki kuwapa promo hawa ndugu zetu katika Imani.
 
1. DP World - Bandari na maziwa yote Bara.
2. Tanesco
3. Posta
4. Misitu TFS
5. JWTZ
6.
7.
 

Attachments

  • 61FAD1E1-7A9B-452E-89C3-1B9EDC858BE2.jpeg
    50.6 KB · Views: 3
  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • B141BF5C-2340-4C1D-970A-83BD5F4FA4A6.jpeg
    51.3 KB · Views: 3
  • EF578770-C4ED-4658-BE95-0E74EEABDCC2.jpeg
    140.9 KB · Views: 3
Hivi tufanyeje kama taifa maana wabunge hawatusaidii?
Jamii yetu isipokuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wao madhara yake ndio haya sasa. Tulikuwa tunafurahia kupita bila kupingwa madhara yake ndio haya
 
tumesaini mikataba mingi mibovu na watu wa mataifa mengi mengi lakini kwa hii trend ya hivi karibuni, mmh. ngoja tuendelee kuunganisha matukio
 
Njoo huku Njombe, Iringa na Kagera uone misitu ya kupandwa!! Kama unataka kupandwa sema
Miti ya mbao!?..hatuzungmzii miti ya mbao ambayo itavunwa,tunazungumzia kurejesha misitu iliyopotezwa,misitu iliyovunwa tabora na kuacha jangwa tabora nchi ya Rwanda inaingia Mara mbili,tunarudishaje hiyo miti!?...Miche unayo?
 
Basi usije kuitwa kujieleza.
.Bunge linatakiwa kuwa bunge huru, kuiwajibisha serikali inapokosea.
Sio bunge la "fadhila"..
 
Swali la kijinga kamuulize mjinga mwenzio..

Wewe hapo ungekuwa na hela Kwa sababu najua ni maskini,ungeweza kuleta uwekeze Ili uporwe na Magufuli?
Umejuaje the next atakua zaidi ya Magufuli??

Ukinijibu, wewe ni mjinga zaidi yangu
 
Tiss mmelala wapi huyu samia anauza nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…