Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

Na uchungaji biashara inalipa sana,baba mdogo mchungaji,kafungua kanisa aisee[emoji706] alianza na kusimika maturubai lkn now bonge la kanisa na nyumba pia kondoo wapo kumtunza mchungaji.
Hiyo ni kama brother wangu ni ostadh yupo kilwa luyaya yeye anatumia Quran kutibu hakika anapiga pesa balaa
 
Upo sahihi ndugu, ila hata waislamu nao wameanza kuiga hayo, juzi kati nilikuwa nasikiliza radio ya kiislamu nikasikia wanachangishana pesa ya kununua matairi ya gari ya kiongozi wao.
Ilivyo ni kwamba lazima hizi huduma zichangiwe,hatutegemei sheikh aache kutunza wake zake wanne na wanae wale vizuri aende akanunue matairi kwa ajili ya gari ya msikiti kwenda kwenye uwajibikaji wa shughuli za imani wilaya nyengine wakati waumini hawaumizi vichwa.

Muumini wa kweli lazima awajibike,mimi huwa napishana na viongozi wa kiislam Kariakoo wakiwa na ramani na picha za Misikiti inayojengwa wakiomba michango hata kwa wasio waislam wanafika kote huku kwa sababu watu kutoa sadaka hawataki wakiambiwa wanaona wanaibiwa mwisho viongozi wanaenda kujidhalilisha mitaani.
 
Na uchungaji biashara inalipa sana,baba mdogo mchungaji,kafungua kanisa aisee[emoji706] alianza na kusimika maturubai lkn now bonge la kanisa na nyumba pia kondoo wapo kumtunza mchungaji.
Anakula madhabauni kwake ulitaka akabebe zege atahudumiwa watu saa ngapi.
Mwache aokoe watu
 
Mtafute FaizaFoxy akupe utaratibu wa kufuata kuwa mwislamu. Uoe na wanawake wanne
 
umtembelee ili iweje? Huku kilwa huwezi kupita nyumba tatu bila kumkuta shehe anatibu watu na kuandika makombe
Kombe ndiyo Qur'an!?..mkikuta hata gazeti la kiarabu mtadai ni Qur'an,Kuna biblia za kiarabu jamani,siyo kila kinachoandikwa kiarabu ni Qur'an
 
karibu hapa msikitini tuswali kila siku....ili baadae tukakae na majini peponi na tuburudike na wanawake 70 wenye macho ya vikombe...huku tukinywa kwenye mito ya pombe huku hakuna sadaka za ovyo kama kwenye makanisa ya ovyo ya upako sijui mitume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…