Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

Atakua mtu wa kwanza kutumia Qur'an kutibu,ni maajabu,tuelekeze tumtembelee
Mimi pia nimeshangaa kwa hii coment yako. Ninavofahamu mimi quraan hakuna kitu imeacha kuanzia kuumbwa, kuzaliwa hadi kufa.

Ni jinsi gani tu msomi wa quraan amejielekeza ktk kujifunza kwake. Kwa kutumia aya za quraan anaweza kutibu, kulinda hata kudhuru!
 
Mimi pia nimeshangaa kwa hii coment yako. Ninavofahamu mimi quraan hakuna kitu imeacha kuanzia kuumbwa, kuzaliwa hadi kufa.

Ni jinsi gani tu msomi wa quraan amejielekeza ktk kujifunza kwake. Kwa kutumia aya za quraan anaweza kutibu, kulinda hata kudhuru!
Babu, QUR'AN yenyewe imesema imekuja kuonya binaadam walio hai,hayo ya kutibu unatibu nini, malaria!?..siyo kila kitabu Cha kiarabu ni Quran,vingine ni vitabu vya uganga na ulozi,wengine wanakufuru kwa kuivaa Quran Kama viatu na kwenda nayo chooni ili ulozi wao ufanye kazi, QUR'AN kazi yake ni kumuongoza binaadam namna gani Aishi ulimwenguni na mahusiano yake na mola wake
 
Naunga mkono hoja, viongozi wa makanisa wafanye kazi kama watu wengine. Shufhuli zote za ibada malipo yake mbinguni, ni dhulma viongozi wa makanisa kula sadaka na dhaka.
Uko nje ya mada bila ya kufirikia ,kuna kutunza nyumba za ibada yaani ulinzi kuepuka ishu kama kuibiwa na kunajisiwa ...

Kuna watu wanajitolea labda maisha yao yote wawe sehemu ya kumtumikia Mungu na kufunza jamii kama walivyo walimu wengine.

Kwa dunia ya sasa inatakiwa angalau wapate pesa kidogo maana labda wanaishi katika kutunza nyumba za ibada kila siku kama kukagua na mambo mengine ya usafi.

Sehemu ninapokaa nimeon hili kuna misikiti na makanisa ila wale viongozi wengi wamejengewa kama nyumba ndaniya maeneo ,kila uchao naona wanapita kukagua ndani ya nyumba za ibada tena asubuhi sana mida ya kwenda kazini ...Binafsi naona wawezeshwe kit7 ambacho watu watajaaliwa.

Bado nyumba hizo zina huduma za maji na umeme ,hata vyoo vipo na watumiaji ni waumini wanaokuja kweny nyumba ya ibada ...Kuna mahitaji ya umeme na bill ya maji nan atalipa kama sio waumini wenyewe?

Sadaka ni muhimu kiuhalisia ila isiwe sana kiasi kumkomoa muumini.
 
Kombe ndiyo Qur'an!?..mkikuta hata gazeti la kiarabu mtadai ni Qur'an,Kuna biblia za kiarabu jamani,siyo kila kinachoandikwa kiarabu ni Qur'an
unachobisha nini? Sasa kwanini wanaoandika kombe ni waliohifadhi Quran tu?
 
Hi!
Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu.

Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani.

Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka kulijaza tumbo lake.

Mfano: Fungu la kumi liliwekwa kwaajili ya Walawi ambao walikosa mgao wa ardhi kule Israel. Hawa Walawi hawakuruhusiwa kujishughulisha na mambo yao ya kiuchumi.

Leo hii mchungaji na askofu wana fremu Kariakoo lakini bado hawaoni haya kula 10% ambayo ilipaswa iende kwa maskini.

Ibada moja ina inakuwa na sadaka mpaka 5. Wanabadilisha jina tu au makapu.

Kapu la sadaka ya ujenzi linafanya nini katika kanisa lililoisha ujenzi?

Kila siku ya ibada ni kukumbushana ujenzi tu.

Moja ya Sababu itakayonifanya nifungue huduma mpya ni suala la sadaka.

Dhulma ya wazi kabisa inafanyika. Ikitokea kongamano la vijana au wamama wataambiwa wajigharamie huku kanisa wanalotoka jumapili Moja tu millioni zaidi ya 2 zinakusanywa.

Hawa manabii na mitume pamoja na makuhani wa mchongo ndo usiseme. Hao Kila siku ni ibada na machangizo.

Uchungaji si kazi ya waliokosa ajira na mitaji.
wewe mkristo toka lini maalim[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka ulitaka watu waabudu wapi na mazingira gani,Umeona ila Maka wanakoenda kuhiji wenzetu hai kushusha toka juu ilijengwa na watu kwa kushirikiana,Tunapaswa kuchangia kujenga makanisa yetu yawe sehem nzuri kwa kuabudia

Unapolaumu kuhusu sadaka kutumiwa na watumishi wa Dini unataka wale wapi?

Hao ni wasimamizi wa Dini yetu wakifanya kinyume na Dini yetu kwenye majukumu yao Wataulizwa na Mungu,Kama mimi na wewe tunavyofanya makazini kwetu kuchepua Fedha za taaaisi kwaajili ya matumbo yetu.
 
Ukiiona biblia ya kiarabu utadai ni Qur'an pia,siyo kila maandishi ya kiarabu ni QUR'AN we mbuzi
Mwanamke nielewe nilichokueleza usilete ubishi au upo period? Kwanini wanaoandika vitu hivyo wawe wenye elimu ya uislamu tu?
 
Kwanini wanaoandika kombe na falak ni wenye elimu ya Quran tu?
Wewe ndiyo unaona Wana elimu ya QUR'AN,ukijua kusoma na kuandika kiarabu utaweza kusoma vitabu vya uchawi vya kiarabu na kuandika makombe,Lebanon ni waarabu,Kuna wakiristo 40% na waganga wa kikiristo wanaoandika makombe
 
Back
Top Bottom