Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Wewe acha uongo umewahi kufika Lebanon? Kuna mahusiano makubwa kati ya Quran na uganga kwasababu mimi ninayekueleza hivyo huko ndiko mambo yanapokuwa magumu tunakimbiliaWewe ndiyo unaona Wana elimu ya QUR'AN,ukijua kusoma na kuandika kiarabu utaweza kusoma vitabu vya uchawi vya kiarabu na kuandika makombe,Lebanon ni waarabu,Kuna wakiristo 40% na waganga wa kikiristo wanaoandika makombe