Mimi pia nimeshangaa kwa hii coment yako. Ninavofahamu mimi quraan hakuna kitu imeacha kuanzia kuumbwa, kuzaliwa hadi kufa.Atakua mtu wa kwanza kutumia Qur'an kutibu,ni maajabu,tuelekeze tumtembelee
Babu, QUR'AN yenyewe imesema imekuja kuonya binaadam walio hai,hayo ya kutibu unatibu nini, malaria!?..siyo kila kitabu Cha kiarabu ni Quran,vingine ni vitabu vya uganga na ulozi,wengine wanakufuru kwa kuivaa Quran Kama viatu na kwenda nayo chooni ili ulozi wao ufanye kazi, QUR'AN kazi yake ni kumuongoza binaadam namna gani Aishi ulimwenguni na mahusiano yake na mola wakeMimi pia nimeshangaa kwa hii coment yako. Ninavofahamu mimi quraan hakuna kitu imeacha kuanzia kuumbwa, kuzaliwa hadi kufa.
Ni jinsi gani tu msomi wa quraan amejielekeza ktk kujifunza kwake. Kwa kutumia aya za quraan anaweza kutibu, kulinda hata kudhuru!
Uko nje ya mada bila ya kufirikia ,kuna kutunza nyumba za ibada yaani ulinzi kuepuka ishu kama kuibiwa na kunajisiwa ...Naunga mkono hoja, viongozi wa makanisa wafanye kazi kama watu wengine. Shufhuli zote za ibada malipo yake mbinguni, ni dhulma viongozi wa makanisa kula sadaka na dhaka.
Kala cha Arusha!!!!!!!!!!!!!!!!!!We si ulituambia ulibadili dini ukawa mwisilamu mpaka baba ako akakufukuza nyumbani??
Iweje leo udai wewe ni mkristo?
Ni vip mkuu?
unachobisha nini? Sasa kwanini wanaoandika kombe ni waliohifadhi Quran tu?Kombe ndiyo Qur'an!?..mkikuta hata gazeti la kiarabu mtadai ni Qur'an,Kuna biblia za kiarabu jamani,siyo kila kinachoandikwa kiarabu ni Qur'an
Kwamba huamini ninachosema au vipiThubutu hakuna kitu kama hicho.
wewe mkristo toka lini maalim[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hi!
Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu.
Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani.
Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka kulijaza tumbo lake.
Mfano: Fungu la kumi liliwekwa kwaajili ya Walawi ambao walikosa mgao wa ardhi kule Israel. Hawa Walawi hawakuruhusiwa kujishughulisha na mambo yao ya kiuchumi.
Leo hii mchungaji na askofu wana fremu Kariakoo lakini bado hawaoni haya kula 10% ambayo ilipaswa iende kwa maskini.
Ibada moja ina inakuwa na sadaka mpaka 5. Wanabadilisha jina tu au makapu.
Kapu la sadaka ya ujenzi linafanya nini katika kanisa lililoisha ujenzi?
Kila siku ya ibada ni kukumbushana ujenzi tu.
Moja ya Sababu itakayonifanya nifungue huduma mpya ni suala la sadaka.
Dhulma ya wazi kabisa inafanyika. Ikitokea kongamano la vijana au wamama wataambiwa wajigharamie huku kanisa wanalotoka jumapili Moja tu millioni zaidi ya 2 zinakusanywa.
Hawa manabii na mitume pamoja na makuhani wa mchongo ndo usiseme. Hao Kila siku ni ibada na machangizo.
Uchungaji si kazi ya waliokosa ajira na mitaji.
Ukiiona biblia ya kiarabu utadai ni Qur'an pia,siyo kila maandishi ya kiarabu ni QUR'AN we mbuziunachobisha nini? Sasa kwanini wanaoandika kombe ni waliohifadhi Quran tu?
Mwanamke nielewe nilichokueleza usilete ubishi au upo period? Kwanini wanaoandika vitu hivyo wawe wenye elimu ya uislamu tu?Ukiiona biblia ya kiarabu utadai ni Qur'an pia,siyo kila maandishi ya kiarabu ni QUR'AN we mbuzi
Hiyo siyo hoja ya hapa,hoja ya hapa ni kutumia Qur'an kutibuMwanamke nielewe nilichokueleza usilete ubishi au upo period? Kwanini wanaoandika vitu hivyo wawe wenye elimu ya uislamu tu?
Hiyo ni hoja na mwenye akili hawezi kubishaHiyo siyo hoja ya hapa,hoja ya hapa ni kutumia Qur'an kutibu
Hata wendawazimu huona wazima ndiyo wendawazimu,kuacha misosi jalalaniHiyo ni hoja na mwenye akili hawezi kubisha
unaenda kwa sheikh anakusomea aya za Quran kama kinga au haujawahi kuona?Hata wendawazimu huona wazima ndiyo wendawazimu,kuacha misosi jalalani
Wewe ukisikia kiarabu tu unajua Quran!!..Kuna vitabu vya uchawi vya kiarabu mzeeunaenda kwa sheikh anakusomea aya za Quran kama kinga au haujawahi kuona?
Kwanini wanaoandika kombe na falak ni wenye elimu ya Quran tu?Wewe ukisikia kiarabu tu unajua Quran!!..Kuna vitabu vya uchawi vya kiarabu mzee
Wewe ndiyo unaona Wana elimu ya QUR'AN,ukijua kusoma na kuandika kiarabu utaweza kusoma vitabu vya uchawi vya kiarabu na kuandika makombe,Lebanon ni waarabu,Kuna wakiristo 40% na waganga wa kikiristo wanaoandika makombeKwanini wanaoandika kombe na falak ni wenye elimu ya Quran tu?