Kwenye vijiwe vya kahawa, kashata kachori na pweza hivi sasa stori kubwa ni Rais Samia

Story zenu za kijinga hizo ziishie hukohuko vijiweni
story zenye maslahi ya Taifa mwisho wake ni kwenye sanduku la kura 2024-2025 patamu hapo jamaa washaamua😜
 
umekuja kupuma nakijiwe hiki wanasemaje?
hali ni shwari sana uelekeo ni mzuri sana, hakuna hata moja anae mtaja kibaraka wa mabwenyenye ni aibu,

Pamoja njaa kali lakini naona wengi uelekeo ni moja tu 2025 ni kwa Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Labda vijiwe vya dubai na oman
 
kwahio huyumama atahudumu kwamiaka 20?
Hapana ni awamu mbili tu, then atawaachia wengine wa endelee.
Hawezi ongeza hata nukta moja baada ya ngwe inayo anzia Oct 2025 kutamatika...
 
Vijiwe vya kipuuzi unategemea kiongelewe cha maana kweli!?
πŸ€£πŸ˜‚
yaan wauza kahawa, kashata, kachori na pweza ni wapuuzwe?

kuweni waungwana tafadhali, watu wanalisha familia na kusomesha watoto shule unawadharau namna hiyo?

wacha Dr SSH ang'ang'ane nao tu tutakua kwa debe 2025.
 
yaan wauza kahawa, kashata, kachori na pweza ni wapuuzwe?

kuweni waungwana tafadhali, watu wanalisha familia na kusomesha watoto shule unawadharau namna hiyo?

wacha Dr SSH ang'ang'ane nao tu tutakua kwa debe 2025.
Sijasema wao, mie nimezungumzia vijiwe vyao, vijiwe vyao vina upuuzo upuuzi, hivyo si ajabu kukaa wanamsifia samia.

Muuza kahawa anaweza kuwa na akili zake saafi kabisa, ila hawezi zuia hizo mada za kipuuzi sababu ndio zinamletea wateja biashara yake inaenda.
 
Pole na samahan kukuelewa vibaya, but it's okay.
Yes sometimes kupo ivo.

sometimes Usimba vs Uyanga sanaaaaa

sometimes Dr Samia Suluhu Hassan sanaaaaa...

sometimes ni hizo vitu zingine makhalakhancha sanaa utacheka ufeee 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…