Asante sana BAK,
Umefanya la maana sana kutotoa heshima kwenye hiyo lugha chafu ya MkamaP. Yeye na wenzake (ambao baadhi wamefungiwa kwa kutoa lugha chafu sana hapa jamvini) walitegemea kupata mteremko na sifa kedekede hapa JF eti kwa vile tu huyo Mwakalinga alikuwa mwanachama hapa.
Walichokipata hapa, na yanayoendelea kuwapata Kyela yamewachanganya sana na wameanza lugha hizo.
Huu ndio uzuri wa forum, unakaribishwa kuweka dataz zako hapa anytime kama vile wengine wanavyoweka za kwao hapa. So far so good.
Bwa'mdogo huyawezi malaani wewe....
Ha ha ha ha ha Ukistaajabu ya Mussa kweli utaona ya firauni 🙂
...
Kweli miaka 18 si mchezo. Hivi dada yako ana mingapi vile? Isijekuwa nimekaa zaidi ya umri wa dada yako wa kikwapa, teteteeee!!
...
Ndondi unaziweza wewe?
Okay ,.. tulikuwa wapi?
1. Je ni kweli una mpango wa kugawa Laptop kwa wana Kyela wote?
2. Je ulifuata nini Monduli (kwa mzee wa mvua za Thailand)
3. Je ni kwa nini Ridhiwani Kikwete alikimbia ile harambee yako ya Kyela?
4. Je Mwakipesile na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mbeya wanakuunga?
5. Je umeruhusiwa kuanza kampeni kabla ya muda wake?
6. Je utarudi tena Polandi (ha ha h aha)
7. Kuna taarifa kuwa unapokea michango toka kwa watu wasio wa Kyela, ni kweli?
..... itaendelea.
Ha ha ha ha LOL! 🙂 Haya ndiyo matatizo ya wazazi kutelekeza watoto wao majuu na kuwaacha bila direction ya mtu mzima. Sasa ukadhani ili uonekane wa mujini ukavamia vya kuvamia sasa umeharibikiwa, mara ucreate IDs mpya ili tu uharass watu hapa ukumbini mara tu urushe mitusi ya nguoni ambayo hapa si mahala pake ali mradi tu uonyeshe your true colors! ambazo haziendani na ustaarabu uliokuwepo hapa ukumbini pamoja na kufungiwa mara chungu nzima lakini ukishafakamia unavyofakamia basi huanza kuonyesha behaviors zako za ajabu ajabu! Kawaone wataalamu wakusaidie kabla hujaharibikiwa kabisa.
Hey Pupu, ni mara ngapi hapa nimetukana watu ukiwemo wewe kwa kutumia jina langu la Nyani Ngabu? Ni mara ngapi nimepewa ban kwa kuwatukana watu? I lost count! Sasa leo iweje eti nijiandikishe kwa majina mapya ili niwa harass watu hapa ukumbini kama vile naogopa kuwa harass kwa kutumia jina langu la Nyani Ngabu? Come on dude...I thought you knew me (blogwise) but I guess not. I don't need to create another ID or IDs in order to deliver a vicious ass whuupin...
You can do better than that ..
Grandson, facts are facts, I have never been banned on this forum, I am not going to waste my precious time to entertain your stupidity, but I want to let you know that you have a very big problem. Try to find experts to help you out with your issues before you become a TOTAL WASTE. I AM OUT!
Anaufadhili mtandao huu?Kumbe mwakalinga anapewa shavu hapa JF sababu anaufadhili mtandao huu?
bwa ha ha ha hapa lazima mtokote walhi tena.....hivi si nyie mlisema kuwa joji hajakutana na wala kufanya vikao kama alivyosema malafyale.....leo hii mwaanza nini tena?
- George amenihakikishia kwamba hakuongea na huyu mwandishi kama ilivyosemwa isipokuwa huyu mwandishi alihudhuria moja ya kikao cha George na wananchi wachache huko Kyela, Mwandishi alipobanwa aeleze ni kwa nini ametoa habari potofu amesema yeye hakuandika hivyo aliwapelekea wenye gazeti wao ndio walioongeza na kupunguza, maneno mengi sana ambayo anadai sio yake. Ndipo ninaposema kwamba hizi ni politics na the games, na siku zote kuna kesho badala ya ku-dwell na ya jana na wala hakuna sababu ya kulia lia kuwa nimeonewa na maadui zangu kisiasa, unasimama na kusonga mbele.
FMEs!
Respect.
Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............
Unataka Engineers sasa ndani ya bunge unafikiri Mtanzania atakuwa peke yake tena?
Nakutajia watano tu
- Shukuru Kwambwa MP Bagamoyo
- Stella Manyanya Special seat CCM
- Christopher Chiza MP Kasulu West
- Prof Mark Mwandosya MP
- Damas Paschal Nakei - MP Babati Magharibi
Kumbe mwakalinga anapewa shavu hapa JF sababu anaufadhili mtandao huu?
KWELI MKONO MTUPU HAULAMBWI. Huyu jamaa hana Historia yoyote ya maana ya uzalendo na taifa letu,anatafuta namna ya kurudi nchini.
Naomba mnaomwita engine mtoe wasifu wake na mchango wake kwa maendeleo ya Tanzania.
Invisible nashukuru kwa maelezo lakini inasemekana kuwa huyu jamaa anaufadhili mtandao huu,imeandikwa kwenye magazeti yanayoheshimika sana hapa nchini (like Mwananchi la jumatatu).Anaufadhili mtandao huu?
Waliochangia kwa mwaka huu wanapatikana hapa:
Hakuna mfadhili zaidi ya hao! Wengine wamechangia miaka ya 2007 nao hakuna alochangia zaidi ya $200!
Haya maneno ya ati ni mfadhili wa JF au mwanzilishi sijui yanatoka wapi! Labda kama yumo kwenye list hiyo.