Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Asante sana BAK,

Umefanya la maana sana kutotoa heshima kwenye hiyo lugha chafu ya MkamaP. Yeye na wenzake (ambao baadhi wamefungiwa kwa kutoa lugha chafu sana hapa jamvini) walitegemea kupata mteremko na sifa kedekede hapa JF eti kwa vile tu huyo Mwakalinga alikuwa mwanachama hapa.

Walichokipata hapa, na yanayoendelea kuwapata Kyela yamewachanganya sana na wameanza lugha hizo.

Nimefungiwa wapi wewe ? sali sana ili upumue.

Na huyo anayeita wenzake mafisadi bila fact ni lugha nyepesi .kweli mnaweweseka
 
Huu ndio uzuri wa forum, unakaribishwa kuweka dataz zako hapa anytime kama vile wengine wanavyoweka za kwao hapa. So far so good.

- Sijaziona hizo dataz so far za kunifanya niamini kwamba George ni fisadi, na siwezi kuita mtu fisadi bila kuwa na facts au dataz,

- kuandika ni haki ya kila mtu ila tatizo ni ukweli wa habari na hapa JF tuna sifa kubwa sana ya kuchambua ukweli na uongo. No matter what mjadala wa George utaishia kua wa hoja za masilahi ya wananchi wa Kyela, maana haya ya negative itakuja kuwa aibu sana huko mbele ya safari.

Respect and Out.

FMEs!
 
...

Kweli miaka 18 si mchezo. Hivi dada yako ana mingapi vile? Isijekuwa nimekaa zaidi ya umri wa dada yako wa kikwapa, teteteeee!!

...

hii thread imejaa vimambo hadi inafurahisha kusoma. Great thinkers at work.
 
Ndondi unaziweza wewe?

Ha ha ha ha LOL! 🙂 Haya ndiyo matatizo ya wazazi kutelekeza watoto wao majuu na kuwaacha bila direction ya mtu mzima. Sasa ukadhani ili uonekane wa mujini ukavamia vya kuvamia sasa umeharibikiwa, mara ucreate IDs mpya ili tu uharass watu hapa ukumbini mara tu urushe mitusi ya nguoni ambayo hapa si mahala pake ali mradi tu uonyeshe your true colors! ambazo haziendani na ustaarabu uliokuwepo hapa ukumbini pamoja na kufungiwa mara chungu nzima lakini ukishafakamia unavyofakamia basi huanza kuonyesha behaviors zako za ajabu ajabu! Kawaone wataalamu wakusaidie kabla hujaharibikiwa kabisa.
 
Okay ,.. tulikuwa wapi?

1. Je ni kweli una mpango wa kugawa Laptop kwa wana Kyela wote?
2. Je ulifuata nini Monduli (kwa mzee wa mvua za Thailand)
3. Je ni kwa nini Ridhiwani Kikwete alikimbia ile harambee yako ya Kyela?
4. Je Mwakipesile na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mbeya wanakuunga?
5. Je umeruhusiwa kuanza kampeni kabla ya muda wake?
6. Je utarudi tena Polandi (ha ha h aha)
7. Kuna taarifa kuwa unapokea michango toka kwa watu wasio wa Kyela, ni kweli?

..... itaendelea.

Hivi Mwakalinga yuko wapi aje hapa kujibu hizi tuhuma dhidi yake. Mwakalinga tafadhali njoo uweke mambo sawa.
 
Hao mnaowaita mafisadi wakiwaomba mthibitishe mtaweza?
 
Ha ha ha ha LOL! 🙂 Haya ndiyo matatizo ya wazazi kutelekeza watoto wao majuu na kuwaacha bila direction ya mtu mzima. Sasa ukadhani ili uonekane wa mujini ukavamia vya kuvamia sasa umeharibikiwa, mara ucreate IDs mpya ili tu uharass watu hapa ukumbini mara tu urushe mitusi ya nguoni ambayo hapa si mahala pake ali mradi tu uonyeshe your true colors! ambazo haziendani na ustaarabu uliokuwepo hapa ukumbini pamoja na kufungiwa mara chungu nzima lakini ukishafakamia unavyofakamia basi huanza kuonyesha behaviors zako za ajabu ajabu! Kawaone wataalamu wakusaidie kabla hujaharibikiwa kabisa.

Hey Pupu, ni mara ngapi hapa nimetukana watu ukiwemo wewe kwa kutumia jina langu la Nyani Ngabu? Ni mara ngapi nimepewa ban kwa kuwatukana watu? I lost count! Sasa leo iweje eti nijiandikishe kwa majina mapya ili niwa harass watu hapa ukumbini kama vile naogopa kuwa harass kwa kutumia jina langu la Nyani Ngabu? Come on dude...I thought you knew me (blogwise) but I guess not. I don't need to create another ID or IDs in order to deliver a vicious ass whuupin...

You can do better than that ..
 
Grandson, facts are facts, I have never been banned on this forum, I am not going to waste my precious time to entertain your stupidity, but I want to let you know that you have a very big problem. Try to find experts to help you out with your issues before you become a TOTAL WASTE. I AM OUT!
 
Oooh Just shut up and go to sleep.
 
Najua uchaguzi utakuwa kati ya chadema na CCM ba chadema itashinda come 2010; from whatever candidate atakayefanyiwa mizengwe na kwenda kupumzika kwa wapiganaji atachukua kiti
 
Kumbe mwakalinga anapewa shavu hapa JF sababu anaufadhili mtandao huu?
KWELI MKONO MTUPU HAULAMBWI. Huyu jamaa hana Historia yoyote ya maana ya uzalendo na taifa letu,anatafuta namna ya kurudi nchini.
Naomba mnaomwita engine mtoe wasifu wake na mchango wake kwa maendeleo ya Tanzania.
 
Kumbe mwakalinga anapewa shavu hapa JF sababu anaufadhili mtandao huu?
Anaufadhili mtandao huu?

Waliochangia kwa mwaka huu wanapatikana hapa:

Hakuna mfadhili zaidi ya hao! Wengine wamechangia miaka ya 2007 nao hakuna alochangia zaidi ya $200!

Haya maneno ya ati ni mfadhili wa JF au mwanzilishi sijui yanatoka wapi! Labda kama yumo kwenye list hiyo.
 
- George amenihakikishia kwamba hakuongea na huyu mwandishi kama ilivyosemwa isipokuwa huyu mwandishi alihudhuria moja ya kikao cha George na wananchi wachache huko Kyela, Mwandishi alipobanwa aeleze ni kwa nini ametoa habari potofu amesema yeye hakuandika hivyo aliwapelekea wenye gazeti wao ndio walioongeza na kupunguza, maneno mengi sana ambayo anadai sio yake. Ndipo ninaposema kwamba hizi ni politics na the games, na siku zote kuna kesho badala ya ku-dwell na ya jana na wala hakuna sababu ya kulia lia kuwa nimeonewa na maadui zangu kisiasa, unasimama na kusonga mbele.
FMEs!

Respect.
bwa ha ha ha hapa lazima mtokote walhi tena.....hivi si nyie mlisema kuwa joji hajakutana na wala kufanya vikao kama alivyosema malafyale.....leo hii mwaanza nini tena?
huyu joji inaonekana ni fisadi fulani hivi.....kaanza kwenda kupata baraka kwa lowasa ati yuko mbugani bwa ha ha.....akaja kukana kuwa hajasema atagombe ubunge....kakana .....leo laja lingine......ati nini tena? anamkana mwandishi wa habari kwa alioyasema....tutamuaminije sie kama alishakana hagombei akaja na lingine.......
 
Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............

Hapa nilikujibu hivi

Unataka Engineers sasa ndani ya bunge unafikiri Mtanzania atakuwa peke yake tena?

Nakutajia watano tu

  • Shukuru Kwambwa MP Bagamoyo
  • Stella Manyanya Special seat CCM
  • Christopher Chiza MP Kasulu West
  • Prof Mark Mwandosya MP
  • Damas Paschal Nakei - MP Babati Magharibi

Umeingia mtini Mh huna swali la nyongeza?
 
Kumbe mwakalinga anapewa shavu hapa JF sababu anaufadhili mtandao huu?
KWELI MKONO MTUPU HAULAMBWI. Huyu jamaa hana Historia yoyote ya maana ya uzalendo na taifa letu,anatafuta namna ya kurudi nchini.
Naomba mnaomwita engine mtoe wasifu wake na mchango wake kwa maendeleo ya Tanzania.

Wewe mchango wako kwa Taifa nini?Kwanza jiulize wewe umelifanyia nini hilo Taifa letu?
 
Anaufadhili mtandao huu?

Waliochangia kwa mwaka huu wanapatikana hapa:

Hakuna mfadhili zaidi ya hao! Wengine wamechangia miaka ya 2007 nao hakuna alochangia zaidi ya $200!

Haya maneno ya ati ni mfadhili wa JF au mwanzilishi sijui yanatoka wapi! Labda kama yumo kwenye list hiyo.
Invisible nashukuru kwa maelezo lakini inasemekana kuwa huyu jamaa anaufadhili mtandao huu,imeandikwa kwenye magazeti yanayoheshimika sana hapa nchini (like Mwananchi la jumatatu).

Nadhani si mimi tu peke yangu niliyenazo habari hizi nawe umezisikia mahali pengine. Habari hii ilivyoandikwa inaonesha kama ufadhili wake ni wa kipekee tofauti na uchangiaji wa hao uliowataja.

Pia jamaa anavyozungumziwa humu JF ni kama vile ni mtu maarufu sana hapa ndani kama akina Mwanakijiji na hiyo inaleta hisia kwamba labda huyu mtu kweli ni kama magazeti na vyanzo vyetu vingine visemavyo.

Nina imani na JF,sitaki kuamini kuwa tunataka kuchukua nafasi ya kuuza wagombea,lakini tuwe makini. Wachangiaji wa fedha wawe wazi na wawekwe wazi ili tuondoe "conflict of interest". JF inaheshimika sana,kama mtu akisoma habari jinsi ilivyoandikwa kwenye gazeti na akaona jinsi Mwakalinga anavyouzwa humu JF ataamini kuwa mtandao huu umegeuka kama sehemu ya kampeni za baadhi ya wagombea.

JF ina members wengi sana na hata wanasiasa wanaweza kuitarget kama sehemu ya kujiuzia. Pia JF ni chanzo cha habari nyingi sana kwani mabo mengi yanatoka hapa ndiyo tunayaona magazetini. Kama mgombea akiweza kuteka JF ana weza kuteka magazeti mengi yanayochukua habari zake hapa.

Suala la Mwakalinga lilikuwa closed topic,iweje lirudishwe kama new post wakati lilishaongelewa na kufungwa. Mwakalinga ni nani mpaka akapewa publicity kubwa kiasi hiki katika JF? Hili linanipa mashaka kwa nafasi ya huyu bwana katika JF. Tunaomba ukweli wa jambo hili kama inawezekana.

JAMII FORUMS Where We Dare to Talk Openly!
 
Imbombongafu habari yako,kuomba dhamana ya kuwa kiongozi lazima uwe na hoja hasa ya kuwasaidia watanzania. Hoja hiyo huwa inakaziwa na historia yako,kwani mtu hawezi kuanza kusaidia wananchi baada ya kupata uongozi. Huwezi mtu kupewa ubunge kwa kuleta hoja kwamba wewe ni msomi wa komputa uliyekuwa unakaa UK au kuwa mweka hazina wa CCM tawi. Lazima Mr. Mwakalinga alete hoja za maana. Pia watu wanaomuuza humu walete hoja za maana siyo kumsifia tu kuwa ni "engine". Inabidi mlete hoja,sina ugomvi na mleta maendeleo kwa taifa letu. Leteni hoja tumjadili Mwakalimga kwa hoja

Ukitaka kujua nimesaidia nini taifa hili Fanya kuni PM nitakujulisha. Kusaidia taifa haitakiwi iwe sehemu ya kujisifia kwa kila mtu,ni mambo personal ila ukitaka kujua nitakujulisha.
 
Back
Top Bottom