Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Na hizo laptop za fisadi Rostam Azizi zimeshabuma tayari. Kazi anayo fisadi George Mwakalinga. Ubunge unaanza kuota mbawa kabla hata uchaguzi kufanyika

sasa windmills mbona hazifiki singida.?
 
Ni dalili za kuishiwa anajitahidi kumpiganisha Matumla na Nikolay Valuev unategemea nini hapo? Kiongozi wa jumuiya watanzania waishio nchi za nje....my a.s.s jumuiya ipi?

ha ha haha .. yaani niliposikia hii ya kuwa yeye ni kiongozi wa watanzania basi nikaishiwa mbavu kabisa. Na bado Sikonge atakuja na GDP ya Poland hapa. Poland (mguu wangu) ndiyo mdudu gani?
 
Tukumbuke pia kundi la mtandao ambalo ni la watu hao hao wanaompigia debe ndiyo hao hao walitumia mabilioini ya pesa kuhonga na kumchafua SAS katika kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa CCM katika uchaguzi wa 2010.

Kwa maoni yangu hawa mafisadi wote akina Lowassa, RA na wengineo wote ambao inasemekana wanamuunga mkono Mwakalinga ili amuondoe Mwakyembe nadhani wanafanya hivyo kutokana na kumuona Mwakyembe kama mbaya wao wa aliyevimwagia mchanga vitumbua vyao,

Kiongozi BAK

Msamehe ndugu yangu Sikonge amepitiwa tu maana hawezi thibitisha tuendelee kulumbana bila kuparuana hapa! Poland Oyeeee, wanatoa wataalamu mahili wa IT duniani...

Masanilo,
Yaani unaiacha nduguyo nalimwa mascud bila msaada? Sawa bana, tutakutana kwenye treni letu na mie humo ndani ya treni, Tanesco wakikata umeme, ni MAKONZI tu yatatembea na MSUL* kibao.

Wee BAK, mtu unatoa shutuma na mwisho unamaliza kutoa maoni na hitimisho unaweka INASEMEKANA na NADHANI, tayari unaanza kuleta shaka kubwa sana. Sasa Masa mbona hayo huyaoni? Yaani jamaa kaandika maneno kibao kwa BASE ya Inasemekana na nadhani unampa asante. Sasa sijui wengine tukija na maneno kibao kwa ACID ya "lete uthibitisho kuwa alikuwa kwa EL?"
 
Acha vitisho Sikonge, umeme wa Tanesco ukikatika basi umeme wa mvua ya Thailand utaingia right away. Ha h ahaha.
 
Masanilo,
Yaani unaiacha nduguyo nalimwa mascud bila msaada? Sawa bana, tutakutana kwenye treni letu na mie humo ndani ya treni, Tanesco wakikata umeme, ni MAKONZI tu yatatembea na MSUL* kibao.

Tuko pamoja ndugu yangu unajua " Shikome sye Bhakuru, Bayanda yaya" hizi siasa na JF tunaziachia hapa tukikutana kwenye miembe kule Sikonge tunaagiziana Kangala....
 
Bado ziko Poland zikisomea utaalamu wa kompyuta ... ha hah ah.

About the Asseco Group

The Asseco Group is an international federation of profitable companies producing and providing IT solutions. Asseco Poland SA, the largest Polish IT company, is the leader of the Asseco Group development. In terms of capitalization, Asseco is one of the ten largest listed IT companies in Europe.

The Asseco Group companies offer comprehensive innovative IT solutions for all sectors of the economy. Its customer portfolio includes leading global banks and financial institutions, public institutions, international corporations, as well as small and medium-sized enterprises. The Asseco Group companies are present in ten-odd countries, including Poland, Slovakia, the Czech Republic, Germany, Austria, Spain, Lithuania, Romania, Serbia and Croatia. The company plans further dynamic international expansion in the near future.
The Asseco Group currently employs over 8,500 people.

HAYA SEMA sasa. Tanzania hizi IT company zetu sijui zina hali gani? Kwa east Africa tu sijui ni wa ngapi.

Masa, ngoja mie nianzishe kiwanda cha matobolwa na Nsansa hapa Sikonge. Itabidi nifanye na nyavu za kuvuna senene na "Nswa" au kumbukumbi na ndugu zao "matini" au Mchwa.
Kwa shule zilivyo Tz sasa, nitalilia walau mwanangu akasome Rumunia au Albania. Nina imani huko atarudi na vitu zaidi kuliko abaki Tz afundishwe na akina Mwafrika. Wee mtu ana roho mbaya na donge kuona mwenzie anafanikiwa "ahh, huyu tulikuwa naye JF hapa juzijuzi awe Mbunge? Haiwezekani".
 
Kwa kweli hapo mzee tunaongea lugha moja....hiyo mouth watering I miss Nswa to dead....hivi hakuna wajasiliamali wa kuwapack na kuexport? Sisi tulikimbilia mjini tunashindwa kuwapatia watoto wetu mapokeo...tunabakia na hadithi za mvua kutoka Thailand! Asante bro Nsa nilichukua pale Imaraseko naitunza kama Passport hahahaha
 
MWafrika,

Mbona siku nzima unalia lia na Mvua za Thailand na Wind mills?

Mkuu, kuna jambo ambalo sisi hatulielewi? Je huu upepo wa Thailand na mvua yake Uliku-blow!?!!!
 
About the Asseco Group

The Asseco Group is an international federation of profitable companies producing and providing IT solutions. Asseco Poland SA, the largest Polish IT company, is the leader of the Asseco Group development. In terms of capitalization, Asseco is one of the ten largest listed IT companies in Europe.

The Asseco Group companies offer comprehensive innovative IT solutions for all sectors of the economy. Its customer portfolio includes leading global banks and financial institutions, public institutions, international corporations, as well as small and medium-sized enterprises. The Asseco Group companies are present in ten-odd countries, including Poland, Slovakia, the Czech Republic, Germany, Austria, Spain, Lithuania, Romania, Serbia and Croatia. The company plans further dynamic international expansion in the near future.
The Asseco Group currently employs over 8,500 people.

So what ... haya yanahusika vipi na maisha ya kila siku ya mwanaKyela. Mimi nimewaambia mapema kabisa kabla yule fundamentalist hajafungiwa kuwa haya mambo ya kutishia watu na uzoefu au kisomo cha ulaya ni very old school. Tafuteni stirateji nyingine maana hii ni veri kondesending.

HAYA SEMA sasa. Tanzania hizi IT company zetu sijui zina hali gani? Kwa east Africa tu sijui ni wa ngapi.

Masa, ngoja mie nianzishe kiwanda cha matobolwa na Nsansa hapa Sikonge. Itabidi nifanye na nyavu za kuvuna senene na "Nswa" au kumbukumbi na ndugu zao "matini" au Mchwa.
Kwa shule zilivyo Tz sasa, nitalilia walau mwanangu akasome Rumunia au Albania. Nina imani huko atarudi na vitu zaidi kuliko abaki Tz afundishwe na akina Mwafrika. Wee mtu ana roho mbaya na donge kuona mwenzie anafanikiwa "ahh, huyu tulikuwa naye JF hapa juzijuzi awe Mbunge? Haiwezekani".

So what .. kama hiyo ya Poland ni bora, abaki huko huko Poland ili afaidi au sio? Mambo mengine mheshimiwa Sikonge hukutakiwa kuyatoa wewe, hizi low waachieni watu wengine. Elimu na uzoefu mlio nao vinawatosha kabisa kutafuta the best way ya kufanya kampeni yenu. So far hii inabaki faya na ndio maana hata RIdhiwani kawakimbia.

Hayo mengine ya kumwonea donge Mwakalinga unayasema wewe tu au labda niseme kuwa wewe ndiye unamwonea donge Mwakyembe? Hawa wawili kwangu wote ni sawa maana ni wana chama wa chama kilichofilisi Tanzania.
 
- Leo asubuhi kama nilivyoahidi jana nimeongea sana na Mkulu George, pamoja na mengi tuliyoteta nilitaka kujua toka kwake exactly what happened na hii article kwa sababu simply it was not a good thing na ninaamini imeandikwa na mtu mmoja wa upande wa pili, na this is not a complain kwa sababu siasa ni mchezo unaojulikana vizuri sana uzuri na ubaya wake,

- George amenihakikishia kwamba hakuongea na huyu mwandishi kama ilivyosemwa isipokuwa huyu mwandishi alihudhuria moja ya kikao cha George na wananchi wachache huko Kyela, Mwandishi alipobanwa aeleze ni kwa nini ametoa habari potofu amesema yeye hakuandika hivyo aliwapelekea wenye gazeti wao ndio walioongeza na kupunguza, maneno mengi sana ambayo anadai sio yake. Ndipo ninaposema kwamba hizi ni politics na the games, na siku zote kuna kesho badala ya ku-dwell na ya jana na wala hakuna sababu ya kulia lia kuwa nimeonewa na maadui zangu kisiasa, unasimama na kusonga mbele.

- Otherwise, ndio kwanza nimeingia ngoja nile siasa za hii thread kwanza kabla ya kuendelea, kuchangia.

Respect.

FMEs!

Respect.
 
MWafrika,

Mbona siku nzima unalia lia na Mvua za Thailand na Wind mills?

Mkuu, kuna jambo ambalo sisi hatulielewi? Je huu upepo wa Thailand na mvua yake Uliku-blow!?!!!

Nikuulize wewe mwenye mpango wa kugawa laptop kyela nzima ili zitumia umeme wa Lowasa wa kutoka Thailand. Otherwise sina sababu ya kuleta waganga wa kutengeneza mvua Tanzania wakati nikitumia mkono mwingine kuchota mabilioni ya pesa za watanzania.

Wewe unasemaje?
 
- lini Ridhiwani atakuja kumalizia mchango wa UVCCM Kyela?

wakulu hivi tukio la riziwani kunusurika kupigwa mawe juzi kyela baada ya kuingia mitini ..alikuwa anaenda kuchangisha pesa za kumsaidia mwakalinga kwenye uchaguzi au alikuwa ameenda kumchangia mwakyembe???

pamoja na kuwa riziwani hana cheo ikulu ...lakini ni muwakilishi binafsi wa rais....kweli jk anaweza kumpiga chini mwakyembe wazi namna hii kwa kubariki mwanaye aende mumchangia mpinzani wake!!!???......so ni kweli kuwa vita ya ufisadi haina back up ya kikwete, au?
 
Yaani PM hii habari ya Ridhiwani ni PR mbaya sana kwa Mwakalinga. Sitashangaa sana kama Kikwete akizikana hizi habari na kusema kuwa yeye hakumtuma mwanaye huko Kyela.
 
George amenihakikishia kwamba hakuongea na huyu mwandishi kama ilivyosemwa isipokuwa huyu mwandishi alihudhuria moja ya kikao cha George na wananchi wachache huko Kyela, Mwandishi alipobanwa aeleze ni kwa nini ametoa habari potofu amesema yeye hakuandika hivyo aliwapelekea wenye gazeti wao ndio walioongeza na kupunguza, maneno mengi sana ambayo anadai sio yake

Spinning zimeanza, Kiongozi na Kamanda FMES, uliishawahi kuja hapa na kulithibitisha jamvi Mwakalinga hana mpango wa kugombea Kyela yuko vacation tu aliyoianzia Monduli, mbuga za wanyama huko northen circuit, akaenda Zanzibar etc etc, ulipobanwa ukaja na utetezi tata kuwa katiba haijavunjwa yeye kugombea, this is a fact lakini mimi mpiga kura siwezi mwamini huyu mgombea kigeu geu, na ahadi zake kupitia wapambe wake. Leo unakuja na lingine kama kawaida umeongea naye anakanusha maandishi ya gazeti, Kamanda unaheshima zako hapa JF usijiingize kwenye mambo ya aibu hapo mbeleni.....usije banwa ukaishia sema hakuna sheria iliyoparaganywa.

Respect

Masa
 
Ha ha ha ha,
soon ila kwa sasa ngoma iko kwa fisadi George Mwakalinga.

Ukaribu wa Mwakalinga na mafisadi hatari wa nchi yetu Lowasa, Rostam na Mwakipesile ndiyo issue kubwa kwangu hapa. Sikonge, tafuta angle nyingine mkuu kwani hii nayo ishavuja tayari.

- Mkuu Mwafrika with all due respect, this is below the belt unless unazo dataz na facts, otherwise bado siamini kwamba this is you!

- Kwa sababu kama ni dataz zipo wazi za DK, ktaka kufungua kampuni ya umeme na Rostam, tena zilitolewa na Dr. Slaa, sasa ya George kua fisadi na karibu na mafisadi, vipi dataz zake mkiziweka hapa tukachambua kuliko kuharibu majina ya vijana wanaotaka kutusaidia taifa letu!

Respect.

FMEs!
 
Kiongozi BAK

Msamehe ndugu yangu Sikonge amepitiwa tu maana hawezi thibitisha tuendelee kulumbana bila kuparuana hapa! Poland Oyeeee, wanatoa wataalamu mahili wa IT duniani...

Ahsante sana Mkuu kwa kuliona hilo
 
- Leo asubuhi kama nilivyoahidi jana nimeongea sana na Mkulu George, pamoja na mengi tuliyoteta nilitaka kujua toka kwake exactly what happened na hii article kwa sababu simply it was not a good thing na ninaamini imeandikwa na mtu mmoja wa upande wa pili, na this is not a complain kwa sababu siasa ni mchezo unaojulikana vizuri sana uzuri na ubaya wake,

- George amenihakikishia kwamba hakuongea na huyu mwandishi kama ilivyosemwa isipokuwa huyu mwandishi alihudhuria moja ya kikao cha George na wananchi wachache huko Kyela, Mwandishi alipobanwa aeleze ni kwa nini ametoa habari potofu amesema yeye hakuandika hivyo aliwapelekea wenye gazeti wao ndio walioongeza na kupunguza, maneno mengi sana ambayo anadai sio yake. Ndipo ninaposema kwamba hizi ni politics na the games, na siku zote kuna kesho badala ya ku-dwell na ya jana na wala hakuna sababu ya kulia lia kuwa nimeonewa na maadui zangu kisiasa, unasimama na kusonga mbele.

- Otherwise, ndio kwanza nimeingia ngoja nile siasa za hii thread kwanza kabla ya kuendelea, kuchangia.

Respect.

FMEs!

Respect.

Mwaga Dataz Mkuu zinaweza kusaidia katika mjadala huu mkali sana kuhusu cha kiti jimbo la Kyela ambacho kinaashiria kutakuwa na patashika nguo kuchanika za kufa mtu katika kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa CCM tu.
 
Back
Top Bottom