Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 125
Sikonge,
Unatakiwa unafahamu kwamba wanyamwezi mmekuwa watumwa kwenye mashamba makubwa maeneo ya pwani kwa miaka nenda rudi.Kwa hali hiyo hata tabia za pwani mmezichukua na mnajifanya nanyi ni watu wa pwani.
Kujiona unajua sana kiswahili, kujifanya kuchezea maneno hilo halinipi shida.
Lakini ukumbuke kwamba kama unataka tuendelee kurushiana maneno hapa, sipati shida kwa hilo pamoja na kuwa sikuzaliwa, kukulia na kulelewa pwani kama wewe.
Mwanaume rijali hawezi kupoteza muda wake kumuangalia mwanaume mwenzie machoni na kuisikiliza sauti yake na kuiita laini, lakini ikitokea hivyo, huna sababu ya kujiuliza kulikoni? huyo ni wazi kabisa anakuwa ni mtoto si rizki.
Kwahiyo naomba kuishia hapa kutoendelea kurushiana maneno nawewe kwa kuwa nimeshakujua wewe mtoto si rizki, endelea tu kuwafuata fuata wanaume wengine uliowazoea, mi mtu wa tarime hizo mambo hatuendekezi.
Msamehe tu ndugu yangu ila nakuomba uendelee kuchangia humu ili tusifanye makosa yaleyale ya kuwazilia nchi hawa jamaa.
Sikonge acha utani bwana katika mambo muhimu. mimi sidhani kuwa hata mwakalinga anakutuma ufanye hayo mambo. Mwakalinga ana nafasi ya kushinda kama raia wengine wote ndiyo maana ameamua kugombea. Sisi tunachosema ni kuwa tunaona mashaka kwenye kampeni yake.