Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Sikonge,
Unatakiwa unafahamu kwamba wanyamwezi mmekuwa watumwa kwenye mashamba makubwa maeneo ya pwani kwa miaka nenda rudi.Kwa hali hiyo hata tabia za pwani mmezichukua na mnajifanya nanyi ni watu wa pwani.

Kujiona unajua sana kiswahili, kujifanya kuchezea maneno hilo halinipi shida.
Lakini ukumbuke kwamba kama unataka tuendelee kurushiana maneno hapa, sipati shida kwa hilo pamoja na kuwa sikuzaliwa, kukulia na kulelewa pwani kama wewe.

Mwanaume rijali hawezi kupoteza muda wake kumuangalia mwanaume mwenzie machoni na kuisikiliza sauti yake na kuiita laini, lakini ikitokea hivyo, huna sababu ya kujiuliza kulikoni? huyo ni wazi kabisa anakuwa ni mtoto si rizki.

Kwahiyo naomba kuishia hapa kutoendelea kurushiana maneno nawewe kwa kuwa nimeshakujua wewe mtoto si rizki, endelea tu kuwafuata fuata wanaume wengine uliowazoea, mi mtu wa tarime hizo mambo hatuendekezi.

Msamehe tu ndugu yangu ila nakuomba uendelee kuchangia humu ili tusifanye makosa yaleyale ya kuwazilia nchi hawa jamaa.

Sikonge acha utani bwana katika mambo muhimu. mimi sidhani kuwa hata mwakalinga anakutuma ufanye hayo mambo. Mwakalinga ana nafasi ya kushinda kama raia wengine wote ndiyo maana ameamua kugombea. Sisi tunachosema ni kuwa tunaona mashaka kwenye kampeni yake.
 
Shalom,
Urafiki wa Mwanjala na Mwakalinga umetokea wapi? Msiwe mnamwingiza Mwakalinga hata kwenye ugomvi wenu binafsi. Mwanjala ni playboy na mlijua hilo wakati mlipokuwa mnamtumia, alipowageuka mnaanza kulalamika? Mwanjala ana ubinadamu, angekuwa na elimu angetufaa kyela. Hivyo Mwakalinga nasikia ana ubinadamu sana.

Ni sawa na mnavyomtumia Kifukwe pamoja na kujua ufisadi wake, siku akiwageuka mtalalamika? Kwa taarifa Kifukwe mwenyewe kaanza kuweka mguu mmoja kwa Mwakalinga ila mwakalinga hataki uhusiano wowote naye zaidi kusalimiana kama wana Kyela.

Ulitaka Mbeya iwe na mawaziri wangapi? Hayo yalikuwa makosa ya dr kuwaambia wapambe wake na wananchi kwa ujumla kwamba katumwa na jk na atakuwa waziri huku akijua si kweli.

Hapa kyela watu wamegawanyika kati ya ujasiri wa Mwakyembe na upenda maendeleo wa Mwakalinga. Vilabuni kote ni ubishi huo huo. Kama politics za kitaifa hazitaingilia kati basi George atashinda. Dr akiweza kumhusisha George na mafisadi hasa wale ambao sio wana kyela atakuwa na nafasi ya kushinda.

pia kuna suala la apewe awamu mbili, huku vijijini wanafikiri ni sheria kuongoza awamu mbili. George kwa kutambua hilo anasema dr kawa mbunge awamu mbili ikiwemo EA.

Mpambano tayari ni mkali na hii bado ni 2009. Wacha leo tukamsikilize dr na tutawaletea taarifa baadaye.

Nikikuletea uthibitisho kuwa Elias na Mwakalinga ni marafiki au wanajuana na wamewahi kuwasiliana utasema nini? Naomba umwite Elias na si mwanjala kwani utakuwa haumtendei haki mzee mwanjala sawa?

Elias hakuitwa kwenye kambi ya mwakyembe bali alikuja mwenyewe na aliondoka mwenyewe, kama nilivyokuambia mwanzo kwenye kambi hii alikuwa liability na kambi ya kambi ya mwakyembe iko better off sasa

Kifukwe kama ni fisadi hata mwakalinga alinijibu kwenye moja ya majadiliano kuwa jamaa ni fisadi na kwa sababu sipendi mafisadi ningemshauri Dr aachane naye! wait lakini simfukwe anafikia level ya ufisadi ya watu wanaomfadhili Mwakalinga?

Watanzania karibu wote ni mafisadi tu ili tunatofautiana kwa level, hata mimi nimefanya ufisadi jana nimempa traffic TZS 5000 jana tena mbela ya nyumba ya waziri mkuu. Hivyo unaposema ufisadi wa mtu bila kutaja kiwango cha ufisadi wake basi tunaita uzushi.

MOD: Mwakalinga akiwa mbunge wa Kyela nitachangia TZS 200,000 kwa hii forum na kumpongeza sana kwa kuwa ni Goliathi wa kwanza kushinda
 
Lete ushahidi huo na ndio tunachohitaji hapa JF, we dare to talk openly. Mpaka sasa tuhuma zenu zote dhidi ya Mwakalinga mmeshindwa kuthibitisha hata moja.

Mnachofanya ni kuimba madai yale yale mara 1000 mkiamini kuna watu wanaweza kuamini ni kweli. Ni njia zile zile zilizotumika kumchafua Salim.

Fisadi gani anamdhamini Mwakalinga?
 
Sikonge,
Unatakiwa unafahamu kwamba wanyamwezi mmekuwa watumwa kwenye mashamba makubwa maeneo ya pwani kwa miaka nenda rudi.Kwa hali hiyo hata tabia za pwani mmezichukua na mnajifanya nanyi ni watu wa pwani.

Kujiona unajua sana kiswahili, kujifanya kuchezea maneno hilo halinipi shida.
Lakini ukumbuke kwamba kama unataka tuendelee kurushiana maneno hapa, sipati shida kwa hilo pamoja na kuwa sikuzaliwa, kukulia na kulelewa pwani kama wewe.

Mwanaume rijali hawezi kupoteza muda wake kumuangalia mwanaume mwenzie machoni na kuisikiliza sauti yake na kuiita laini, lakini ikitokea hivyo, huna sababu ya kujiuliza kulikoni? huyo ni wazi kabisa anakuwa ni mtoto si rizki.

Kwahiyo naomba kuishia hapa kutoendelea kurushiana maneno nawewe kwa kuwa nimeshakujua wewe mtoto si rizki, endelea tu kuwafuata fuata wanaume wengine uliowazoea, mi mtu wa tarime hizo mambo hatuendekezi.

Umejieleza saaana. Nilikukuna kumbe? Pole sana.

Mie mtu wa Sikonge mkuu. Sasa haya ya Pwani mie niyafahamie wapi?

Wanyamwezi waliozamia Pwani sasa wanajiita Wakwere (akina Kikwete).

Karibu sana Sikonge Mkuu, uone tunavyozalisha Tumbaku huku kwenye kijiji changu cha UKONDAMOYO, uone jinsi navyozalisha Tumbaku langu la nguvu. Kiangazi nakuwa zangu Madukani (kwenye Mizambarau) nikiwa na kiduka changu hapo.

Hili neno kujua si lipo kwenye Biblia? Mbona walifanya kuwa ni la Pwani?
"Adam akamjua mkewe Eva, wakazaa mtoto...... akamjua tena, wakazaaa..." Sasa wewe ukisema sisi TUNAKUJUA, ehhhh!!!!!!!!
 
Shalom,

Lete ushahidi huo na ndio tunachohitaji hapa JF, we dare to talk openly. Mpaka sasa tuhuma zenu zote dhidi ya Mwakalinga mmeshindwa kuthibitisha hata moja.

Mnachofanya ni kuimba madai yale yale mara 1000 mkiamini kuna watu wanaweza kuamini ni kweli. Ni njia zile zile zilizotumika kumchafua Salim.

Fisadi gani anamdhamini Mwakalinga?

Mimi nimesema ushahidi ya kwamba mwakalinga na Mwanjala wanajuana wewe unasema Nimesema mwakalinga ni fisadi. Mbona unalazimisha ndugu yangu?

Mimi mwenyewe nimesikaia humu kuwa mwakalinga anafadhiliwa na mafisadi nimetumia akili yangu ku conect dots na kufikia conclusion kuwa inawezakana hasa niliporudi na kusoma post zake za nyuma. Nikagundua ile chuki ilikuwa ni ya kiti cha ubunge na na siyo ya maendeleo.

Mimi sijasema kuwa mwakilinga ni fisadi ila analysis za wachangiaji wenzangu nimezikubali. Mimi nimesema kuwa mwakalinga na elias wanajuana na sasa wako kitu kimoja kumpiga majungu mbunge wetu. Sasa ukitaka niseprove kuwa elias na mwakalinga ni kitu kimoja mwambie Mtz aseme halafu mimi nitatafuta namna iliyosalama ya kuprove kuwa wanajuana sawa kibunango!
 
Mwanjala na Mwakyembe ni Ndugu. Tena ndugu wa karibu hasaaa.

Ndiyo maana mmeandika kuwa baba yake alimuonya aache kugombea against Mwakyembe na akaacha. Hata kama ingelikuwa kweli Mwanjala anamsaidia Mwakalinga, it's just a matter of time. Wazee Kyela wakisikia watamuweka tena kijana kwenye kikaango na akitoka hapo ni moja kwa moja anaanza kumsuport Mwakyembe. Damu nzito kuliko maji.
Mwanjala ndiyo alifanya kazi zote chafu kwenye uchaguzi wa 2005.

NB: Mwanjala ndiyo kwanza kamuona Mwakalinga hivi juzijuzi. Mapema kabla ya hapo alikuwa anawafahamu wadogo zake Mwakalinga na zaidi ni yule mwanasheria ambaye walikuwa naye kwenye kampeni za 2005. Mwakyembe alishamuona George ila wala hakufahamu kuwa ndiye huyu mpinzani wake na jamaa wakakausha kumshtua. Ukweli ni kuwa watu wengi sana huwa wanasikia George Mwakalinga na ndiyo kwanza wamekujua kumfahamu hii safari. Hata Engineer mwenye kakiri kuwa ndiyo kwanza kamuona George.
 
Mpwa Sikonge,

Nimepata picha yako ukiwa unawasiliana na Mwakalinga! Kama hutajali naomba niiweka hapa kwenye forum...
 
Sikonge acha utani bwana katika mambo muhimu. mimi sidhani kuwa hata mwakalinga anakutuma ufanye hayo mambo.

Shaaaa, Yerooo.

Yaani Mwakalinga natuma mimi, shaaaa. Kwani mimi nakuwa JINI?
 
Mpwa Sikonge,

Nimepata picha yako ukiwa unawasiliana na Mwakalinga! Kama hutajali naomba niiweka hapa kwenye forum...

Weka tu Mkuu. Ila na mie ntaweka jina lako la pili unalotumia hapa JF na hata kwenye makala hii. Mkuu waingia kwa majina mawili mawili kumbe!!!
 
Umejieleza saaana. Nilikukuna kumbe? Pole sana.

Mie mtu wa Sikonge mkuu. Sasa haya ya Pwani mie niyafahamie wapi?

Wanyamwezi waliozamia Pwani sasa wanajiita Wakwere (akina Kikwete).

Karibu sana Sikonge Mkuu, uone tunavyozalisha Tumbaku huku kwenye kijiji changu cha UKONDAMOYO, uone jinsi navyozalisha Tumbaku langu la nguvu. Kiangazi nakuwa zangu Madukani (kwenye Mizambarau) nikiwa na kiduka changu hapo.

Hili neno kujua si lipo kwenye Biblia? Mbona walifanya kuwa ni la Pwani?
"Adam akamjua mkewe Eva, wakazaa mtoto...... akamjua tena, wakazaaa..." Sasa wewe ukisema sisi TUNAKUJUA, ehhhh!!!!!!!!

Sikonge,
Hapo ndipo haiba yako ilipo.
Kwanini upende midume wewe mnyamwezi???huoni aibu kujitambulisha kwamba unakuna midume? ala we vipi weweee.

Ngoja tu nikusamehe bure, tatizo lako ni kilimo cha tumbaku. Miaka nenda rudi uko busy na tumbaku uache kulewa.Inaonekana hiyo tumbaku ya sikonge ni balaa tena zidi ya bange.Siwezi kukulaumu kwa hilo, nimeikumbuka signature yako ya siku chache zilizopita; "SIKONGE NA TABORA TUNA MATATIZO"

Sasa tuendelee kukata nyanga za Mwanasheria vs Mhandisi.
 
Weka tu Mkuu. Ila na mie ntaweka jina lako la pili unalotumia hapa JF na hata kwenye makala hii. Mkuu waingia kwa majina mawili mawili kumbe!!!

Hahahahaah mpwa si vita!

Naona network iko ya shida hapo ukaamua kupanda juu ya nguzo uwasiliane na George Mtanzania.....angalia usianguke! Mkuu nina ID moja unaweza hawa wasiliana na admin wa JF, labda kama kuna kidudu mtu anatumia Masanilo1 then huyo ni balaa. Hebu nipe ID zangu za hapa JF maana huenda nina zaidi ya moja mwenyewe sijui!

attachment.php
 
Attachments

  • Sikonge.jpg
    Sikonge.jpg
    3.3 KB · Views: 40
Sikonge,
Hapo ndipo haiba yako ilipo.
Kwanini upende midume wewe mnyamwezi???huoni aibu kujitambulisha kwamba unakuna midume? ala we vipi weweee.

Ngoja tu nikusamehe bure, tatizo lako ni kilimo cha tumbaku. Miaka nenda rudi uko busy na tumbaku uache kulewa.Inaonekana hiyo tumbaku ya sikonge ni balaa tena zidi ya bange.Siwezi kukulaumu kwa hilo, nimeikumbuka signature yako ya siku chache zilizopita; "SIKONGE NA TABORA TUNA MATATIZO"

Sasa tuendelee kukata nyanga za Mwanasheria vs Mhandisi.

Hivi Mkuu hujui kumbe utani.

Utani inatakiwa na wewe unatoka na wako. Sasa wewe unakuja kurudia walichokisema wenzako. Huoni aibu? Muone, miguu tu imekaa kama jogoo linawika!!!
Masanilo, huyu jamaa kakaa na yale macho yanayotokeza. Na huyu hapa ni dada yake. Hii familia ni balaa!!!

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=MsVeDQymCiY&feature=related[/ame]
 
Sikonge unamaproblem sana wewe nimecheka sana hapa ofisini kila mtu ananishangaaa hahahahahah hii kali......uwiiiiiiiiiiii
 
Hahahahaah mpwa si vita!

Naona network iko ya shida hapo ukaamua kupanda juu ya nguzo uwasiliane na George Mtanzania.....angalia usianguke! Mkuu nina ID moja unaweza hawa wasiliana na admin wa JF, labda kama kuna kidudu mtu anatumia Masanilo1 then huyo ni balaa. Hebu nipe ID zangu za hapa JF maana huenda nina zaidi ya moja mwenyewe sijui!

attachment.php

Wana JF,

Leo inabidi mumfahamu Masanilo kuwa jina jingine analotumia hapa tumelifahamu. Anaitwa MASA.

Weee Masa. Nilikuwa sifahamu kuwa wewe pia ni mwanamuziki mkali saana.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=XWwjqLdKjOA&feature=PlayList&p=106133A6541CCDE2&index=0[/ame]

Msanilo,
Naona wee ndiyo hujatuliatulia. Hiyo picha yangu napiga simu kwa kweli simpigii Mwakalinga.

Naona nilikuwa nampigia simu Fidel na ile AVATAR yake.

Itabidi niitunze nije niifanye avatar. Utafikiri yule Mumia Ramses.
 
Last edited:
Mwanjala na Mwakyembe ni Ndugu. Tena ndugu wa karibu hasaaa.

Ndiyo maana mmeandika kuwa baba yake alimuonya aache kugombea against Mwakyembe na akaacha. Hata kama ingelikuwa kweli Mwanjala anamsaidia Mwakalinga, it's just a matter of time. Wazee Kyela wakisikia watamuweka tena kijana kwenye kikaango na akitoka hapo ni moja kwa moja anaanza kumsuport Mwakyembe. Damu nzito kuliko maji.
Mwanjala ndiyo alifanya kazi zote chafu kwenye uchaguzi wa 2005.

NB: Mwanjala ndiyo kwanza kamuona Mwakalinga hivi juzijuzi. Mapema kabla ya hapo alikuwa anawafahamu wadogo zake Mwakalinga na zaidi ni yule mwanasheria ambaye walikuwa naye kwenye kampeni za 2005. Mwakyembe alishamuona George ila wala hakufahamu kuwa ndiye huyu mpinzani wake na jamaa wakakausha kumshtua. Ukweli ni kuwa watu wengi sana huwa wanasikia George Mwakalinga na ndiyo kwanza wamekujua kumfahamu hii safari. Hata Engineer mwenye kakiri kuwa ndiyo kwanza kamuona George.

Kutofahamika ni sifa moja mbovu sana ya mtu anayetaka kuwania public office, kumbuka kuwa kama hawakujui na wewe pia huwajui. sasa kama mwakalinga anawategemea wewe na kibunango kumpa habari ili aje yeye kuongoza naona hiyo in short kidogo

ndiyo maana mlishindwa kumshauri mwenzenu vizuri, anataka ubunge kyela lakini anakuja tanzania na moja kwa moja anakwenda arusha kwanza. sasa sijui kama safari yake ilikuwa ni kupumzika au kuja kuexplore zaidi khali ya kisiasa. kama alikuja kufanya yote mawili basi huyu ni mtu asiye na plan maaana ameondoka kichwa kinauma zaid ya alivyokuja. ndiyo maana mbeya inakuwa nyuma ya mikoa mingine kwa sababu watu wote wanapenda kupeleka vi dola vyao huko na huyu mbunge anaonesha hiyo ndiyo itakuwa kazi yake nadhani atakuwa anakaa arusha na kuongoza bunge jimbo la kyela ili awe karibu na familia ya kaka yake. kiafrika unatakiwa kwanza kufika nyumbani halafu ndiyo unaanza kwenda sehemu zingenezo9 naona uzungu mwingi hapa)

Tuambie basi kwenye kambi ya mwakalinga nani mmempa kazi ya elias ya kufanya kazi zote chafu? wewe au engineer. mwakyembe haitaji mtu wa kufanya kazi chafu.

Wameonana wapi kyela dar au arusha? kwa taarifa yako wamejuana muda mrefu sana kwa sababu wote peop la wivu kwa mwakyembe liliwaingia na linawapelekesha vibaya sana kwa sasa.
 
Wanaume wanatofautiana na Wanawake. Wanaume mnaongea kitu kimoja na mnamaliza na hapo MNASONGA MBELE. Wee mwenzetu bado unang'ang'ania tu ukuta wa Berlin bado umesimama.......
 
Kumbe wewe ni mwanamke? sikujua lakini kwangu mimi iwe mwanamke au mwanaume sioni tofauti. Mimi matusi na wewe sitaki na sina mda mbovu wa kuongea matusi. Sidhani kama mwakalinga anakuwa happy anavyoona mnaleta matusi ya leja leja kwa niaba yake hapa.

Itabidi aje hapa awakane kuoneakana kuwa hiyo isyo campaign strategic yake.

Mkitaka issues tutadiscuss mkitaka matusi mtakuwa peke yenu hilo naomba mlijue.
 
Nimetoka vekesheni kumbe hii kitu bado inaleta mtafaluko duhh.
 
Shalom,
Wanaume wanatofautiana na Wanawake. Wanaume mnaongea kitu kimoja na mnamaliza na hapo MNASONGA MBELE. Wee mwenzetu bado unang'ang'ania tu ukuta wa Berlin bado umesimama.......
STYLE-NOW-YOU-LOOK-LIKE-SHIT-IS-THAT-THE-STYLE-NOW_88__D-828.625_20.jpg
 
ndiyo maana mlishindwa kumshauri mwenzenu vizuri, anataka ubunge kyela lakini anakuja tanzania na moja kwa moja anakwenda arusha kwanza. sasa sijui kama safari yake ilikuwa ni kupumzika au kuja kuexplore zaidi khali ya kisiasa. kama alikuja kufanya yote mawili basi huyu ni mtu asiye na plan maaana ameondoka kichwa kinauma zaid ya alivyokuja. ndiyo maana mbeya inakuwa nyuma ya mikoa mingine kwa sababu watu wote wanapenda kupeleka vi dola vyao huko na huyu mbunge anaonesha hiyo ndiyo itakuwa kazi yake nadhani atakuwa anakaa arusha na kuongoza bunge jimbo la kyela ili awe karibu na familia ya kaka yake. kiafrika unatakiwa kwanza kufika nyumbani halafu ndiyo unaanza kwenda sehemu zingenezo9 naona uzungu mwingi hapa)

Shalom,

Kumbe ndio mama unamtesa huyo dada mkeo kwa makazi yote huku wewe ukizunguka mitaani eti kutafuta investors wa kuwapeleka Kyela? Kumbe bado unafikiri tabia za zamani zilizopitwa na wakati ambazo watu walikuwa hawajali familia zao?

Uzalendo unaanzia nyumbani, huwezi ukaacha kuipa huduma zote familia yako na ukajifanya utasaidia taifa.

Mwakalinga anajali familia yake, tena yote na wala sio watoto wake tu. Akawapa vacation nzuri watoto wake kabla ya yeye kuingia kwenye mapambano. Siku tano akamaliza kata zote kitu ambacho Mwakyembe ameshindwa kukifanya miaka minne ya ubunge wake. Jana ndio anasema atatembelea kata zote baada ya kuona joto la jiwe.

Vipi hao wazungu wako unawaleta lini Kyela? Fanya kazi na msaidie huyo dada ili apunguze kuzunguka kwenye hizo hospitali ili alishe na mume asiye na kazi.

Mbeya inakuwa nyuma shauri ya watu kama nyie ambao mnashindwa hata kufungua kiosk Kyela japo huko nyuma mlikuwa na pesa nzuri. Mungeiga Uzalendo wa Mwakalinga kwa Kyela hata kwa asilimia 10 tu, hii wilaya yenu ingelikuwa inasogea mbele.

Nimeongea na Mwanjala na kathibitisha ameonana na Mwakalinga mara moja tu tarehe 24/07/09, kabla ya Mwakalinga kwenda Kyela. Alikuwa anamsikia tu huko nyuma lakini hakuwa kuonana naye wala kuongea naye.
 
Back
Top Bottom