Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mbeya inakuwa nyuma shauri ya watu kama nyie ambao mnashindwa hata kufungua kiosk Kyela japo huko nyuma mlikuwa na pesa nzuri. Mungeiga Uzalendo wa Mwakalinga kwa Kyela hata kwa asilimia 10 tu, hii wilaya yenu ingelikuwa inasogea mbele.Nimeongea na Mwanjala na kathibitisha ameonana na Mwakalinga mara moja tu tarehe 24/07/09, kabla ya Mwakalinga kwenda Kyela. Alikuwa anamsikia tu huko nyuma lakini hakuwa kuonana naye wala kuongea naye.

Hizi tunaita ni Pumba!
 
Kwasababu wewe unatumia pia Shalom unafikiri kila mtu ni kama wewe?Umejaribu kumchafua Mwakalinga umeshindwa sasa umekuja kama Shalom na pumba zako ni zile zile.

This is hilarious! Keep on dreaming.....Shalom aka Masanilo
Mwafrika
aka ......
 
Kwasababu wewe unatumia pia Shalom unafikiri kila mtu ni kama wewe?

Umejaribu kumchafua Mwakalinga umeshindwa sasa umekuja kama Shalom na pumba zako ni zile zile.

Ha!ha!ha! Engineer, na uinjinia wako hapa umenoa vibaya kweli......! tangu lini Masanilo = Shalom....!Umechemka mbaya sana bro!
 
He heeeee Shalom,

MAZEE wa TEXAS. Mzee aliyeowa Mzungu na anahaha kutafuta wawekezaji matapeli waje Tanzania. Mzee anayelishwa na Mke wake wa Kizungu.

Shalom, huwa nasikia hayo maneno juu. Unaweza kuleta ushahidi hapa kuwa SI WEWE?
Lakini wee Mkuu kama ni kweli basi unaraha sana. Na unafanya kazi moja nzuri sana. Wazungu wametuibia na wamekula goodtime kutokana na jasho na damu yetu. Wametesa na kututumikisha kwa sana. Mzee weee waishi kwa nguvu yako uliyopewa na Mungu. Binti wa Kizungu yeye ni kuimba tu ule wimbo wa Khadija Kopa wa "mwanamke mambo". Bibie anatangaza kabisa hadi kwa wazazi wake wa Kizungu na ndugu "sitishwi nikatishika, raha zimenikolea........."

http://www.eastafricantube.com/media/3997/_mwanamke_mambo/
 
He heeeee Shalom,

MAZEE wa TEXAS. Mzee aliyeowa Mzungu na anahaha kutafuta wawekezaji matapeli waje Tanzania. Mzee anayelishwa na Mke wake wa Kizungu.

Masanilo aka Shalom, Engineer 2009. Mazee sijaowa maana kabula ni mweupe na Mzee Mwinamila ametaka Ng'ombe wengi. Bado nipo nipo ndugu yangu!
 
Kwasababu wewe unatumia pia Shalom unafikiri kila mtu ni kama wewe?

Umejaribu kumchafua Mwakalinga umeshindwa sasa umekuja kama Shalom na pumba zako ni zile zile.

Ukiwa na IQ yakawaida tu unaweza kujua kama huyu mtu yuko texas, UK kama boss wenu au tanzania nayo ni kwa kutumia time anazokuwa humu lakini kwa sababu wenzangu kazi ni ushabiki tu mimi sina la kusema na ispokuwa nawatakia huyo daktari wenu aendelee kuwaprescribe Profosol!
 
Sasa ilikuwaje watu wenye IQ mkashindwa kufahamu kuwa LOWASSA yuko Dodoma kwenye mkutano wa Bunge na si Arusha alikokuwa Mwakalinga.

Sasa hivi si uko Kyela na mzungu wetu? Mmekuja kuwekeza.
 
Mwakalinga na Lowassa ni kama chanda na pete, suala la wao kufahamiana wewe walijua tena ulitupa hints hapa JF, kabla ya kwenda Monduli walikutana pia na kuongea ulaya wakati Edward yuko kwa medical check up. Kama haitoshi alipokuwa vacation Monduli pamoja na kuona shemejiye alikutana kwa kikao cha siri na Lowassa hilo la Mzee wa Mamvi kuwa Dodoma mnalijua nyinyi. Mwakalinga ni zao la ufisadi!
 
Masanilo aka Shalom, Engineer 2009. Mazee sijaowa maana kabula ni mweupe na Mzee Mwinamila ametaka Ng'ombe wengi. Bado nipo nipo ndugu yangu!

Msubiri akienda kwenye Chagulaga, wee mdake huko huko na mbembe hadi hapo UK. Ukifika hapo usimruhusu kurudi kwao hadi azae. Mwinamila akiona vitoto vinaongea Ungenge kama Blueray, atafurahi saaana na kusahau mahali ya hao ng'ombe. Sanasana mwenyewe atakupa uje ulipe.

Nipe asante maana nimekufundisha KARUFUNDI kaktumia kwenye WATOTO wa Mwanaume MWENZETU.
 
Mwakalinga na Lowassa ni kama chanda na pete, suala la wao kufamiahana wewe walijua tena ulitupa hints hapa JF, kabla ya kwenda Monduli walikutana pia na kuongea huku ulaya wakati Edward yuko kwa medical check up. Kama haitoshi alipokuwa vacation Monduli pamoja na kuona shemejiye alikutana kwa kikao cha siri na Lowassa hilo la Mzee wa Mavi kuwa Dodoma mnalijua nyinyi. Mwakalinga ni zao la ufisadi!

Hili halina UBISHI hata kidogo. Mwakalinga akubali asikubali huo ndiyo ukweli. Yeye kakutana na Lowassa na si chini ya mara 10.

Mwanzo nilikuwa na wasiwasi na hili ila sasa naamini kuwa ni kweli kabisa.

Mwakalinga akiwa Arusha alifanya MIUJIZA.

Kwa kutumia NGUVU ZA KIROHO:
1. Alieweza kuwa mbugani Arusha.
2. Kukutana na Lowassa ingawa Lowassa alikuwa bungeni Dodoma.
3. Aliweza kufungua kikao cha kuanza kampeni Kyela.
4. Alisaidia kurekebisha computer ya mke wa Shalom aliyekuwa Dar.
5. Alikutana na Fisadi Mwanjala.

Hapa Mwakalinga kawaweka chini hata hata Wahaya na Minziro wao. Maana Freddy Minziro alikuwa anaweza kucheza two positions at a time. Sasa Mwakalinga yeye "UTURA" five postions at a time.

Kweli Malafyale ana akili sana hadi kugundua huu uwezo wa Mwakalinga kuitumia RORO. Nguvu za KIROHO OYEEEEEE!!!!!!!
 
Shalom,

Kumbe ndio mama unamtesa huyo dada mkeo kwa makazi yote huku wewe ukizunguka mitaani eti kutafuta investors wa kuwapeleka Kyela? Kumbe bado unafikiri tabia za zamani zilizopitwa na wakati ambazo watu walikuwa hawajali familia zao?

Uzalendo unaanzia nyumbani, huwezi ukaacha kuipa huduma zote familia yako na ukajifanya utasaidia taifa.

Mwakalinga anajali familia yake, tena yote na wala sio watoto wake tu. Akawapa vacation nzuri watoto wake kabla ya yeye kuingia kwenye mapambano. Siku tano akamaliza kata zote kitu ambacho Mwakyembe ameshindwa kukifanya miaka minne ya ubunge wake. Jana ndio anasema atatembelea kata zote baada ya kuona joto la jiwe.

Vipi hao wazungu wako unawaleta lini Kyela? Fanya kazi na msaidie huyo dada ili apunguze kuzunguka kwenye hizo hospitali ili alishe na mume asiye na kazi.

Mbeya inakuwa nyuma shauri ya watu kama nyie ambao mnashindwa hata kufungua kiosk Kyela japo huko nyuma mlikuwa na pesa nzuri. Mungeiga Uzalendo wa Mwakalinga kwa Kyela hata kwa asilimia 10 tu, hii wilaya yenu ingelikuwa inasogea mbele.

Nimeongea na Mwanjala na kathibitisha ameonana na Mwakalinga mara moja tu tarehe 24/07/09, kabla ya Mwakalinga kwenda Kyela. Alikuwa anamsikia tu huko nyuma lakini hakuwa kuonana naye wala kuongea naye.

tatizo la nyie wanyakyusa ni kupenda majungu kuliko fact hivyo unayosema hapo juu siyashangai hata kidogo ndiyo jadi yenu. Nachomshangaa Mwakalinga ni uwezo wake wa kuandaa vijana wenye IQ ndogo kama nyie ambao hamuwezi hata kufuata logik.

Kuna ndugu yenu mmoja humu alisema kuwa mimi ni mpambe wa nchimbi lakini mimi najua kuwa mtu mvivu wa kufikiri lazima atakimbilia huko hasa akiwa ametoka katika damu za kifisadi basi hawezi fikiri kuwa kuna mtu buguruni anaweza kukaa na kuja na hoja za nguvu hivyo ni lazima awe na support kutoka ufisadini.

Nikilishwa na mke wangu kuna tatizo gani si ndiyo hiyo kuwa pamoja wakati wa raha na shida? unaona wivu mwambie basi huyo mke wako ugly akulishe kama anajeuri

Sio lazima ni invest kyela naangalia sehemu inayolipa ila nikitaka kuinvest sehemu ili nigombee ubunge basi ni lazima iwe kwenye hilo jimbo nalotaka kugombea hata kama return in my investment ni impossible ili niwakoge wavivu wa kufikiri kama engineer, sikonge na wengine.

ukitaka personal nimesema mimi sitaki ila ukinichokoza kuna mida najibu. muulize bosi wako ninayo Pm yake akiomba msamaha!
 
Sasa ilikuwaje watu wenye IQ mkashindwa kufahamu kuwa LOWASSA yuko Dodoma kwenye mkutano wa Bunge na si Arusha alikokuwa Mwakalinga.

Sasa hivi si uko Kyela na mzungu wetu? Mmekuja kuwekeza.

Ha haaaaaaaa IQ ni kwa wengine kwake haoni. Jamaa wa wakezaji wa kuokotwa barabarani.

Bro! Shalom lete hao Wazungu tuwashangae huku barabarani! Nani anajua, wanaweza wakanipenda na mimi nikapanda pipa kwenda Ulaya niungane na wewe kwenye kuwafaidi hawa Wakoloni.
 
tatizo la nyie wanyakyusa ni kupenda majungu kuliko fact hivyo unayosema hapo juu siyashangai hata kidogo ndiyo jadi yenu. Nachomshangaa Mwakalinga ni uwezo wake wa kuandaa vijana wenye IQ ndogo kama nyie ambao hamuwezi hata kufuata logik.

Kuna ndugu yenu mmoja humu alisema kuwa mimi ni mpambe wa nchimbi lakini mimi najua kuwa mtu mvivu wa kufikiri lazima atakimbilia huko hasa akiwa ametoka katika damu za kifisadi basi hawezi fikiri kuwa kuna mtu buguruni anaweza kukaa na kuja na hoja za nguvu hivyo ni lazima awe na support kutoka ufisadini.

Nikilishwa na mke wangu kuna tatizo gani si ndiyo hiyo kuwa pamoja wakati wa raha na shida? unaona wivu mwambie basi huyo mke wako ugly akulishe kama anajeuri

Sio lazima ni invest kyela naangalia sehemu inayolipa ila nikitaka kuinvest sehemu ili nigombee ubunge basi ni lazima iwe kwenye hilo jimbo nalotaka kugombea hata kama return in my investment ni impossible ili niwakoge wavivu wa kufikiri kama engineer, sikonge na wengine.

ukitaka personal nimesema mimi sitaki ila ukinichokoza kuna mida najibu. muulize bosi wako ninayo Pm yake akiomba msamaha!

Poor Shalom...Kumbe wewe poti ni mpambe wa Nchimbi?
 
Ha haaaaaaaa IQ ni kwa wengine kwake haoni. Jamaa wa wakezaji wa kuokotwa barabarani.

Bro! Shalom lete hao Wazungu tuwashangae huku barabarani! Nani anajua, wanaweza wakanipenda na mimi nikapanda pipa kwenda Ulaya niungane na wewe kwenye kuwafaidi hawa Wakoloni.

Yaaaaah wewe kweli IQ ni ndogo utajizugisha lakini ukweli utabaki ukweli daima. Hongera at least sasa unaweza kuandika sentensi bila kuchapia rudia posting zako za nyuma utaona!
 
Poor Shalom...Kumbe wewe poti ni mpambe wa Nchimbi?

Lingine hili! soma post yote kaka halafu ndiyo ujibu. kumbuka kuichochoe akili yako kabla vidole vyako havijaanza kuandika. Flip flop flip flop amua moja kaka kazi itakuwa rahisi
 
Hivi Mkuu hujui kumbe utani.

Utani inatakiwa na wewe unatoka na wako. Sasa wewe unakuja kurudia walichokisema wenzako. Huoni aibu? Muone, miguu tu imekaa kama jogoo linawika!!!
Masanilo, huyu jamaa kakaa na yale macho yanayotokeza. Na huyu hapa ni dada yake. Hii familia ni balaa!!!

http://www.youtube.com/watch?v=MsVeDQymCiY&feature=related

Sikonge,
Utani hapa ndio penyewe, isipokuwa mimi watani zangu ni akina kalumanzila na akina omutwale a.k.a baba koku.

Kama unataka kuhamisha utani kutoka kwa wakwere kuja kwetu, au unataka kuongeza listi ya watani, karibu sana tarime.

Kwa kifupi tu ni kwamba nimekusikia sana mkuu, huyo dada yangu ndiye kasababisha nicheke. Maana najiuliza, pamoja na hiyo mimacho iliyomtoka, hivi Sikonge ulimpendea nini?au unafikiri hatujui kwamba umezaa nae?
kaazi kwelikweli.
 
Hizi tunaita ni Pumba!

Masanilo, wazijua pumba wee?? Hebu soma hii.

Hiyo AVATAR yako imenikumbusha mtoto mmoja kwenye shule ya mataahira pale Tabora mjini.
Kijana alikuwa ghorofa ya kwanza na akawa anakojoa akiwa kasimama kwenye balcony. Ghafla alimuona mwalimu wake na kijana akakatiza mkojo.
Kitendo hicho kilimfurahisha sana mwalimu wake na kuanza kuamini kuwa kijana sasa anapona na ameshaanza kufahamu mabaya na mazuri.

Akaenda na kusimama na akamwuuliza:

Mwalimu: Wee Kapama, mbona umekatiza kukojoa?
Kapama: Nimekuogopa wee mwalimu.
Mwalimu: Umeniogopa mimi? Kwani ulifikiri ntakupiga?
Kapama: Hapana, niliogopa kuwa kwa kuwa uko chini, utaukamata mjono wangu na univute chini nianguke.

Do i sound like Yo YO?????
 
Last edited:
Back
Top Bottom