Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Acha tu mkuu dogo angejipatia kabinti kabichi kabisa ajilie mema ya nchi anavamia migumegume yenye misuli ka yeye 🤣🤔!
Ni laana
laana sana mrembo.ameshindwa kuwaona mlivyo kuwa mnamshabikia😅😅
 
Kusema watu wanakatwa uume wawekewe k haingii akilini
Kuupenda au kutoupenda hakubadili ukweli kua mbape na huyo rafiki yako Ines ni mashoga.

Wote ni mashoga, hakuna awezae kubadili jinsia duniani.
Ukizaliwa dume ni dume mpaka kiama na ukizaliwa ke ni ke mpaka unaingia kaburini!!

Wanabadili muonekano tu na sio jinsia, kua me ni pamoja na kutungisha mimba(labda uzaliwe/ukwae matatizo ukubwani) ila huo ni uwezo mama wa me, vivyo hivyo kwa ke.

Sasa hao bosheni hawazaliani sasa jinsia gani hizo za mchongo.
Si walau hata kuku wa kisasa wanataga, hao ke na me wa mchongo hata manii hawatoi/siku zao hawana ni papuchi ya plastiki kama kopo la mo extra.
 
Nashangaa wewe kusema habari ni ya uongo wakati ni kweli mbape analala na punga
Sasa kwann umtetee mnaajenda gani nyie watu
Kwa hiyo mimi ndio nimeandika hiyo Habari
Halafu ntakuaje wa upinde wakati napinga kwa kumkandia
Sasa kujibu kuwa ni uongo linanifanyaje niwe upande huo?

Inawezekana wewe una tabia hiyo ila unajichanganya na wanaume

Hebu nipe sababu za wewe kuandika ujinga huo kwangu

Usiwe kijana wa kukurupuka bila kusoma maudhui yenyewe
 
Huyu dogo soka lake halitafika mbali

Dogo aliachwa na mrembo Emma baada ya mwanadada uyo kutomuelewa dogo akijiweka he sounds more like a woman

Sasa Mbappe amenasa kwa mwanamitindo ines ambaye alikuwa dume akaswitch jinsia

Kwa jinsi wafaransa wanavyopenda starehe Mbape ameumaliza mwendo

View attachment 2463520
Hapo ndio nilipomchukia. Amepoteza mashabiki wengi ksbb ya kuiga huo ukenge.
Mtu ishi kiafrica halisi. Mambo mengine acha yapite. Kuna haja gani kwa mtu ana pesa kama yeye ya kudokoa dume,unaacha wasichana wengi tu wamejaa wazuri sana.
 
Unakubaliana na mbape kuoa shoga? Je wewe ni mtu wa upinde!
Mie naishangaa MIAFRIKA inashinda makanisani/misikitini na kujifanya inamjua MUNGU swara 70 lakini ndiyo MASIKINI wa kutupa na hao wanaowaona WATENDA DHAMBI i.e. MBAPEP ndiyo MATAAJIRI na MATAJIRI ,sasa huyo MUNGU wenu WAAFRIKA ni yupi au nyie ndiyo MSHETANI?
 
Back
Top Bottom