laana sana mrembo.ameshindwa kuwaona mlivyo kuwa mnamshabikia😅😅Acha tu mkuu dogo angejipatia kabinti kabichi kabisa ajilie mema ya nchi anavamia migumegume yenye misuli ka yeye 🤣🤔!
Ni laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
laana sana mrembo.ameshindwa kuwaona mlivyo kuwa mnamshabikia😅😅Acha tu mkuu dogo angejipatia kabinti kabichi kabisa ajilie mema ya nchi anavamia migumegume yenye misuli ka yeye 🤣🤔!
Ni laana
Shetani Na mawakala zake wana visa sana. Mara nyingi watu maarufu has a kupitia michezo Na Sana'a wanaingizwa huko ili kushawishi watu wengine
Mashoga wanaoa sikuhizi sioni ajabu
Kuupenda au kutoupenda hakubadili ukweli kua mbape na huyo rafiki yako Ines ni mashoga.
Wote ni mashoga, hakuna awezae kubadili jinsia duniani.
Ukizaliwa dume ni dume mpaka kiama na ukizaliwa ke ni ke mpaka unaingia kaburini!!
Wanabadili muonekano tu na sio jinsia, kua me ni pamoja na kutungisha mimba(labda uzaliwe/ukwae matatizo ukubwani) ila huo ni uwezo mama wa me, vivyo hivyo kwa ke.
Sasa hao bosheni hawazaliani sasa jinsia gani hizo za mchongo.
Si walau hata kuku wa kisasa wanataga, hao ke na me wa mchongo hata manii hawatoi/siku zao hawana ni papuchi ya plastiki kama kopo la mo extra.
Kwa hiyo mimi ndio nimeandika hiyo Habari
Halafu ntakuaje wa upinde wakati napinga kwa kumkandia
Sasa kujibu kuwa ni uongo linanifanyaje niwe upande huo?
Inawezekana wewe una tabia hiyo ila unajichanganya na wanaume
Hebu nipe sababu za wewe kuandika ujinga huo kwangu
Usiwe kijana wa kukurupuka bila kusoma maudhui yenyewe
Inasemekana michelle naye ni Trans
Unataka kutengeneza ?
Wewe unapima upepo una tabia za kishenzi
Ulitaka atoke na wewe?umekosa kabisaaaaa chakuandika hapa Tz hasa changamoto za watz?
Ngumu kumeza mbona anawatoto amezaa?
Embu subiri, huyu huyu mbape wetu? Huyu huyu mbape ambae hamisa ashaanza mtolea udenda? Lile pompolimpo lake hawezi lifanyia ujinga.
Kijiwe cha story
Aseeee hii ndio jamii forums bana , kijiwe cha story , watu wanatililika kwa keyboards tuu kama story vile
Unafiki na umaskini wabongo unawa sumbua lol.Watu mnaojidai kuponda ushoga ndio mnafira mashoga. Mkitoka huko mnaanza kuuponda.
Huu uzi naona kama kuna mtanange [emoji848] ngoja nikae kwa kutulia hapa
Hapo ndio nilipomchukia. Amepoteza mashabiki wengi ksbb ya kuiga huo ukenge.Huyu dogo soka lake halitafika mbali
Dogo aliachwa na mrembo Emma baada ya mwanadada uyo kutomuelewa dogo akijiweka he sounds more like a woman
Sasa Mbappe amenasa kwa mwanamitindo ines ambaye alikuwa dume akaswitch jinsia
Kwa jinsi wafaransa wanavyopenda starehe Mbape ameumaliza mwendo
View attachment 2463520
Nani amesema hajaoa? Ameoa ndio transgender
Sorry niliye m quote Alisha nijibu, relaaaaaaaxAlikuambia yeye ni doctor wa kufanya plastic surgeries? Grow up young man
Ni uzuni, kwa zile pic zake za world cup zilizotikisa dunia mashoga hawawezi muacha.Ndio huyo kaoa shoga mkuu
Ila wanaowala mashoga n wanaumee, usijitoe ufahamu.Asilimia kubwa ya wanawake wanasapoti ushoga
Mie naishangaa MIAFRIKA inashinda makanisani/misikitini na kujifanya inamjua MUNGU swara 70 lakini ndiyo MASIKINI wa kutupa na hao wanaowaona WATENDA DHAMBI i.e. MBAPEP ndiyo MATAAJIRI na MATAJIRI ,sasa huyo MUNGU wenu WAAFRIKA ni yupi au nyie ndiyo MSHETANI?