Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kwa hiyo watu kubebana wakiwa ufukweni tayari ni wapenzi wakati ushaambiwa huyo mwanamke ana partner wake kuanzia mwaka 2015 hadi sasa meaning yupo kwenye public relationship,

Acha kukaza fuvu kubali yaishe tugange yajayo
Mkuu kuna vitu vya kutetea vingine huwezi kuvitetea
Kuhusu mbape kulala na huyo shoga ni kweli kwanamna hiyo tayari mbape shoga
 
Alikwambia anahitaji kutetewa??
Umtetee wewe kama nani mwenzio ana mwanasheria wake na anamlipa pesa ndefu,

Unashupaza shingo kwa kijana aliyeshinda world cup akiwa ana miaka 19 tu, unashupaza shingo kwa kijana aliyefunga hattrick kwenye world cup na kuifikisha timu yake final na bado ameshida kiatu cha dhahabu, [emoji2]

Sikia we mzee usikubali kuzeeka vibaya chukua mbegu za bamia ukapande hata uwani uwe busy kuliko kuvuja jasho kwa mtu asiyekujua.
Kwa hiyo akafanye kilimo cha mboga mboga 😂

Ushauri mzuri lakini maana uzee na ukiwa chuki kwa vijana, wajukuu hawakawaii kukuita lile jina la kukera, lol
 
Mkuu kuna vitu vya kutetea vingine huwezi kuvitetea
Kuhusu mbape kulala na huyo shoga ni kweli kwanamna hiyo tayari mbape shoga
Amekwambia sawa ni shoga je Mabilioni yake yatakuja kwako au kiatu chake cha dhahabu kitakuja kwako au world cup 2018 litakuja kwako?
 
Hapana,
Ines amebadili jinsi yake kwa upasuaji kutoka Me kwenda Ke (Transsexual) anasema amedate wanaume wengi na hawakuwahi kumjua hadi alipojitangaza mwenyewe kua ni mbadili jinsia
No, **** inakuwa ya plastic. Kumla ni nyuma tu kwani mbele hawi na feelings zozote pamoja na hilo tobo la artificial kuwekwa hapo mbele.
 
Mbappe hanipangii maisha, mimi simpangii maisha.

Mambo ya Mbappe, muachie Mbappe mwenyewe.

Vinginevyo utakuwa umemkosea heshima.
Mwanaharakati na watetezi 🏳️‍🌈 pambana mkuu ili watu waone kawaida
 
Sijazungumzia ukiwa utajiri wake nimesema ameharibu personality ya sisi wapenda mpira

Mimi nilikuwa shabiki wake lakini Sasa sitaki hata kumskia na ndivyo ilivyo kwa wanamichezo wote hatutaki

Mpira wake hautafika mbali
Amekwambia sawa ni shoga je Mabilioni yake yatakuja kwako au kiatu chake cha dhahabu kitakuja kwako au world cup 2018 litakuja kwako?
 
Back
Top Bottom