Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

nakubaliana na wewe,ni suala la mda tu...Mbappe atashinda UEFA 3 akiwa na Madriid,atapata ballon dor 2-4 akiwa na Madrid
Ni kitu kigumu mkuu 😃
 
Ni kitu kigumu mkuu 😃
nakumbuka tu jinsi misimu ya mwanzo CR7 alivyo hustle mpk kujipata kwenye njia yake na kushinda hizo tuzo na hilo kombe,alivyoanzaga sikuwahi kudhani kama angekuja kuwa best wa level ile
 
nakumbuka tu jinsi misimu ya mwanzo CR7 alivyo hustle mpk kujipata kwenye njia yake na kushinda hizo tuzo na hilo kombe,alivyoanzaga sikuwahi kudhani kama angekuja kuwa best wa level ile
Ila nadhani tatizo kubwa ambalo lipo kwa sasa ni kila mtu kuhitaji crown ile
 
Ila nadhani tatizo kubwa ambalo lipo kwa sasa ni kila mtu kuhitaji crown ile
na ndicho kilichotokea ile 2009...KAKA,BENZEMA,RONALDO,HIGUAIN N.K ktk usajili huo huyo benzema ndiye aliyekuwa kipenzi cha Perez kwahiyo ulikuwa mtifuano mkubwa hatimaye CR7 akashinda kuwa top player ktk timu,hii timu ya sasa ni swala la mda tu ili Madrid iwe tishio yenyewe ndio itakayoingia mfumo wa Mbappe
 
Ndio mkuu ila ile RM ya kina KAKA ilikuwa na vyombo vya moto sana
 
Nimeishia ulipoandika ada kubwa ya uhamisho !! Unaokota makando kando huko una-paste humu hata bila kuyasoma/edit
 
Ndio mkuu ila ile RM ya kina KAKA ilikuwa na vyombo vya moto sana
mkuu 2009-2011 ile RM ilikuwa ya hovyo,2012 mourinho alivyotimuliwa akaacha kitu kizuri ambacho 2013 Anceloti na ZIZU wakaja kutembelea nacho ndo RM ikawa tishio
 
Wangapi duniani wanakosa penati tena wakiwa kwenye form zao za kimpira??

Naongelea performance yake generally.
Tuache kumpa presha kijana maana tutamtoa kwenye reli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…