Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, huyo ni kenge kama kenge wengine.Kenge tena!??
nakumbuka tu jinsi misimu ya mwanzo CR7 alivyo hustle mpk kujipata kwenye njia yake na kushinda hizo tuzo na hilo kombe,alivyoanzaga sikuwahi kudhani kama angekuja kuwa best wa level ileNi kitu kigumu mkuu 😃
Ila nadhani tatizo kubwa ambalo lipo kwa sasa ni kila mtu kuhitaji crown ilenakumbuka tu jinsi misimu ya mwanzo CR7 alivyo hustle mpk kujipata kwenye njia yake na kushinda hizo tuzo na hilo kombe,alivyoanzaga sikuwahi kudhani kama angekuja kuwa best wa level ile
na ndicho kilichotokea ile 2009...KAKA,BENZEMA,RONALDO,HIGUAIN N.K ktk usajili huo huyo benzema ndiye aliyekuwa kipenzi cha Perez kwahiyo ulikuwa mtifuano mkubwa hatimaye CR7 akashinda kuwa top player ktk timu,hii timu ya sasa ni swala la mda tu ili Madrid iwe tishio yenyewe ndio itakayoingia mfumo wa MbappeIla nadhani tatizo kubwa ambalo lipo kwa sasa ni kila mtu kuhitaji crown ile
Ndio mkuu ila ile RM ya kina KAKA ilikuwa na vyombo vya moto sanana ndicho kilichotokea ile 2009...KAKA,BENZEMA,RONALDO,HIGUAIN N.K ktk usajili huo huyo benzema ndiye aliyekuwa kipenzi cha Perez kwahiyo ulikuwa mtifuano mkubwa hatimaye CR7 akashinda kuwa top player ktk timu,hii timu ya sasa ni swala la mda tu ili Madrid iwe tishio yenyewe ndio itakayoingia mfumo wa Mbappe
mkuu 2009-2011 ile RM ilikuwa ya hovyo,2012 mourinho alivyotimuliwa akaacha kitu kizuri ambacho 2013 Anceloti na ZIZU wakaja kutembelea nacho ndo RM ikawa tishioNdio mkuu ila ile RM ya kina KAKA ilikuwa na vyombo vya moto sana
Wangapi duniani wanakosa penati tena wakiwa kwenye form zao za kimpira??Mfumo ndo unamfanya mpaka akose penati