Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #281
Shukrani..Mkuu the bold ninakupongeza. Lakini nimeshindwa kupata mwendelezo .upo page ya ngapi mkuu wangu?
Nilishaandika tayari kuhusu Pablo Escobar! Soma hapa Plata O Plomo: Ulimwengu Wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja
Hatari sana chiefNdio maana yake mkuu,, Gulf Cartel waliwapandia dau..
alafu hiyo avatar yako mmmmmhhhh hahahahahahaha
Hizi ni habari halisi zilizotokea au ni story [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold:Nitaweka muendelezo soon!
Shukrani Mkuu..
Duh! upo makini kweli abiria chunga mzigo wako! kwema lakini dada /shemeji?Hakukuwa na ulazima wa kupost mguno wako.
Ungebaki nao ungepungukiwa nini?[emoji35]
Ni vile tu yameshaisha...
Na leo iwe mwisho [emoji135].
Sorry hny.! Au niongeze apology ya public juu ya ile niliyokuomba peke yetu..
Nisamehe mpenzi wangu, wewe unajua macho yangu vile yanakuona wewe pekee cheupe wangu..
Jioni nitarudi na kipande cha khanga ufurahi kipenzi changu... Usisahau kunikarangizia ule mnafu na chemsha kabisa zile Karanga.. Usiku mzima nitautumia "kukuomba msamaha"..
Nakupenda sana cheupe!
Mkuu nyie tukiwaacha free ni hatari tupu...ndio maana hakuna namna zaidi ya uonavyo [emoji4]Duh! upo makini kweli abiria chunga mzigo wako! kwema lakini dada /shemeji?
Mpaka kivuli? huku pia kwema tuna aminika sana ila huwa mnatukosea ndio maana kuna kuwa na sintofahamu.Mkuu nyie tukiwaacha free ni hatari tupu...ndio maana hakuna namna zaidi ya uonavyo [emoji4]
Kwema kabisa, asante Shem.
Ni habari halisi..Hizi ni habari halisi zilizotokea au ni story [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold:
Alhamdullilah..Mkuu bold unapata vingi kama mtoto wa mfalme
Sawa mkuu..Mkuu nitag please
We nae unaanzisha maada nyingine kabisa ukatili kila binaadamu anao tatizo sehemu ya kuutumia tu.wanaambiwa waislm ni magaidi, jee na hawa nao pia waislam.
maana kuna msemo juzi juzi uliandikwa hapa kuwa
'SIO KUWA WAISLAM WOTE NI MAGAIDI, ILA KILA GAIDI NI MUISLAM"
Mauaji kila yakitokezea huhusishwa waislam na kulaaniwa, jee haya vipi.
muuaji wa Canada juzi kuna watu walisema kuwa atakuwa muislam mwenzao huo, naona ushahidi mzima mshaupata kuwa alieua ni mwenye mfaransa na mcanadia.
Na ni wale wabaguzi.
Jamani tusiwe na chuki sisi kwa sisi binaadamu.
Nilikuwa sijui kama kuna chuki kiasi hicho mpaka nilipojiunga jamiiforum ndio nikaona haswa.
Na tafiti zinaonyesha ya kuwa waliokuwa si waislam ndio wanapenda sana wakisikia habari mbaya na kama imemuhusu muislam basi hapo tena hapakaliki.
Tujitahidini kukaa vizuri tusiwe na chuki zisizo na maana.
Katika kusoma kwangu kote na kusomesha sikuwahi kuambiwa mchukie mkristo, na kumfanyia visa.