wanaambiwa waislm ni magaidi, jee na hawa nao pia waislam.
maana kuna msemo juzi juzi uliandikwa hapa kuwa
'SIO KUWA WAISLAM WOTE NI MAGAIDI, ILA KILA GAIDI NI MUISLAM"
Mauaji kila yakitokezea huhusishwa waislam na kulaaniwa, jee haya vipi.
muuaji wa Canada juzi kuna watu walisema kuwa atakuwa muislam mwenzao huo, naona ushahidi mzima mshaupata kuwa alieua ni mwenye mfaransa na mcanadia.
Na ni wale wabaguzi.
Jamani tusiwe na chuki sisi kwa sisi binaadamu.
Nilikuwa sijui kama kuna chuki kiasi hicho mpaka nilipojiunga jamiiforum ndio nikaona haswa.
Na tafiti zinaonyesha ya kuwa waliokuwa si waislam ndio wanapenda sana wakisikia habari mbaya na kama imemuhusu muislam basi hapo tena hapakaliki.
Tujitahidini kukaa vizuri tusiwe na chuki zisizo na maana.
Katika kusoma kwangu kote na kusomesha sikuwahi kuambiwa mchukie mkristo, na kumfanyia visa.