KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
- Thread starter
- #21
Hakika broWatu wazima tu ndiyo watakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika broWatu wazima tu ndiyo watakuelewa
Yaweza iwe kweli sio kweli hata kidogo, pia labda ungeongeza sababu zako kidogo kwanini unasema sio sahihi.Si kweli hata kidogo mkuu.
Hatuwezi kuhukumu maana ni wazazi tayr ila Kuna vitu vinakera usione wengine walikimbia kwao matatizo ndo hayo unajua chanzo cha mgogoro kabisa ukiachana na hilo Kuna baadhi ya watu baba zao ni walevi wa kutupa ndo matatizo mara wachelewe kurudi mara ivi kutokuhudumia familia kazi kulewa tuMzazi hakosei kwa mtoto hilo weka akilini haijarishi unayaona makosa kwa kiwango cha namna gani,
ukiona imeshindikana kabisa kuvumilia peleka mashitaka kwa wazazi wao, wao binafsi ndio watayajenga na watajua ni ni namna gani ya kuliweka sawa.
ila katika yote unaloweza kulifanya nikuwa mfariji tu kwa mzazi anayeonewa wala sio kuwa mshauri namna yakumaliza mgogoro wewe nikuwa mfariji tu baaaasi,
Ulimwengu umeweka sheria zake na kanuni zake mzazi hawezi kosea hata siku moja, mtoto ukiona mzazi anakosea kaa nalo moyoni usiingilie ugomvi hata kidogo,
labda nikusisitize kwa kauli hii NI MWIKO MTOTO KUINGILIA UGOMVI WA WAZAZI, NI KOSA KUBWA SANA TENA SANA MTOTO KUINGILIA KOSA LA WAZAZI, ACHA KABISA HILO NI BOMU LA NYUKLIA KABISA MKUU.
Nikweli kabisa mkuu kuna changamoto nyingi sana watoto tunakuwa tunazipitia sana sana kutokana na hii migogoro,Hatuwezi kuhukumu maana ni wazazi tayr ila Kuna vitu vinakera usione wengine walikimbia kwao matatizo ndo hayo unajua chanzo cha mgogoro kabisa ukiachana na hilo Kuna baadhi ya watu baba zao ni walevi wa kutupa ndo matatizo mara wachelewe kurudi mara ivi kutokuhudumia familia kazi kulewa tu
Mkuu hutambui unachozungumza.NIkukumbushe tu kuhusu hili ugomvi wa wazazi hauna huyu mwenye haki huyu mwenye makosa,
nakusisitiza tena hakuna mwenye haki ugomvi wa wazazi mtoto unayeweza kumuona,
ndio maana hata siku moja hata kama unaweza kusuluhisha ugomvi wa wazazi ni mwiko hata siku moja kumkalisha chini mzazi mmoja au wote kusuruhisha ni mwiko na haiwezekani hata kidogo.
narudia tena ndugu ugomvi wa wazazi mtoto haumuhusu hata kidogo, unaloweza kulifanya nikuwa mfariji tu ila usijaribu hata kidogo kujaribu kusema huyu ana haki au hana haki,
sheria za ulimwengu hazilitambui hilo la mzazi mwenye haki ama asiyekuwa na haki sheria za ulimwengu zinatambua mtoto hupaswi kujihusisha na ugomvi wa wazazi.
pia kwa ziada ugomvi wa wazazi haujakaa kimwili hukumu zake kama unavyofikiria utamuona nani ana haki nani hana haki,
mbaya sana mzazi akajifanya mjinga na akakubaliana na kauli zako akakusikiliza, lakini ndani ya moyo akasema huyu mtoto leo anajifanya mkubwa wakunikanya mimi,
yaani unacheka na mzazi afu kumbe moyon kakukunjia ogopa sana tena sana ndugu yangu ni hatari mno.
nisikuchoshe na maelezo mengi ila tambua tu hauna uhakimu wowote katika kesi ya wazazi wala hauna hata asilimia ya 000000000.00001 kuingilia mgogoro huo, usije kujaribu kamwe ndugu yangu
nikweli naweza kuwa sitambui ila nadhani ulimwengu haubadirishi kilicho misingi yakeMkuu hutambui unachozungumza.
Haya maneno unayatoa wapi mkuu!?mtoto hana sababu yoyote inayokubalika na kumfanya aingilie ugomvi wa wazazi.
binadamu tunatofautiana mwingine anajua moja mwingine anajua mbili,Haya maneno unayatoa wapi mkuu!?
Hizo sheria umezitoa wapi?binadamu tunatofautiana mwingine anajua moja mwingine anajua mbili,
nikufufata tu sheria na kanuni za ulimwengu, baadhi wanabahati zakujua na kutambua mapema,
ni ngumu kujifunza kila mtu asipokuwa na sababu ya kujifunza hivyo ni vyema kutoa maonyo ya madhara yanayoweza kutokea.
Usianike mahindi usiku sababu hakuna jua, hakuhitaji maelezo ya kwanini jua haliangazi usiku.
Kamwe Usiingilie ugomvi wa wazazi haijarishi unaona mmoja mkosefu kiasi gani, laana yake hakuna anayeweza kukukomboa nayo zaidi ya mzazi mwenyewe
Umemaliza,Ukiwa mdogo unahisi mara zote baba anamuonea mama. Anza kuishi na mke ndo utapata jibu sahihi.
Huyu jamaa?!!!!!
Kama mbariki Laana ni Mwenyezi Mungu basi naamini hata ukimpigia Magoti Yeye ambaye pia ndiyo Kawaumba hao Wazazi atakusamehe tu kwakuwa Yeye ndiyo kila Kitu.Habari ya siku nyingi ndugu zangu, ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja
Masuala ya ugomvi na migogoro ya ndoa kwa wazazi wetu ni mambo ambayo huwa tunakumbana nayo mara kwa mara na kwa asilimia kubwa sana japo sio kila familia au kila mtoto huweza kuyapitia haya mambo.
Ila niwape angalizo ndugu zangu katika masuala ya matatizo ya kifamilia ya wazazi usije hata siku moja ukaegemea upande wa mtu mmoja hata kidogo, kubwa unaloweza kulifanya ni kumfariji tu yule aliyeathirika zaidi kuwa na moyo mmoja wakusimama naye na kuhakikisha msongo na kukata tamaa isiwe sehemu yake.
Ukimchukia baba na akajua sababu ya mama au ukimchukia mama akajua sababu ya baba nakuhakikishia ndugu yangu nenda hata kwa mwamposa na shehe unayemjua wewe hii laana itakutafuna sana tena sana utakuwa ni mtu wa hatua mbili mbele tatu nyuma pasipo hata kuwa na suluhisho.
Narudia tena Mzazi awe na kosa au asiwe na kosa ila ukaingilia ugomvi wao ukamchukua mmoja wapo na akakufuta katika akili yake na moyo wake umekwisha kabisa.
HIli suala halina tiba yoyote zaidi ya kwenda kujiungamanisha na mzazi wako tena kabla hajaondoka hapa duniani na kama haujajifungamanisha naye akaondoka katika maisha haya hata ungekuwa mlokole wakuhamisha milima kwa maombi utahusika tu kwenda kutambika kumuomba msamaha mzazi wako.
Ndugu zangu hili suala limekaa kiroho sana namna ambayo huwezi tambua kiwepesi wepesi, laana ya kuingilia ugomvi wa wazazi na mzazi akaju umeegemea upande mmoja na akakukatia tamaa hii laana hakuna kiumbe wakuitoa chini ya jua na ulimwengu mzima zaidi ya mzazi wako,
Lasivyo itaendelea kuwasumbua hadi watoto wako pamoja na wajuu zako,
Na mara nyingi hizi laana zao zikisha kukalia wewe katika maisha hautaona la maana lolote wala hautakuwa na ahueni mahusiano yatakusumbua kama sio mahusiano basi maendeleo itakuwa shida kama sio maendeleo kipato kugumu kama sio kipato kigumu basi ipo sehemu ya muhimu kwako utakwama na hautaweza kujinasua hata kidogo,
Ukienda kuombewa na kuroga kwa waganga utapata ahueni ya mwezi mmoja tu na wala hautapata jibu la moja kwa moja hata siku moja.
Laana Hii ikikuvaa inatoka kwa njia moja tu wewe kwenda kwa mzazi wako ili arudishe moyo wako tena kwa ajili yako.
Sababu kubwa ya laana ya mzazi kuwa na nguvu nikwasababu kiroho kwa hapa duniani wazazi ndio miungu yako , wawe hai wasiwe hai wazazi wako ndio alfa na omega wako hapa duniani,
Siku nyingine nitakuja kueleza aina za laana ambazo wazazi wanaweza kukuachia,
Ukiwa na swali lolote unaweza ukauliza jisikie huru kabisa.
NASISITIZA HAKUNA MTUMISHI WALA SHEHE WALA MUNGU WALA SHETANI ANAYEWEZA KUITOA HII LAANA.
Muwe na jioni njema...!
NIkukumbushe tu kuhusu hili ugomvi wa wazazi hauna huyu mwenye haki huyu mwenye makosa,
nakusisitiza tena hakuna mwenye haki ugomvi wa wazazi mtoto unayeweza kumuona,
ndio maana hata siku moja hata kama unaweza kusuluhisha ugomvi wa wazazi ni mwiko hata siku moja kumkalisha chini mzazi mmoja au wote kusuruhisha ni mwiko na haiwezekani hata kidogo.
narudia tena ndugu ugomvi wa wazazi mtoto haumuhusu hata kidogo, unaloweza kulifanya nikuwa mfariji tu ila usijaribu hata kidogo kujaribu kusema huyu ana haki au hana haki,
sheria za ulimwengu hazilitambui hilo la mzazi mwenye haki ama asiyekuwa na haki sheria za ulimwengu zinatambua mtoto hupaswi kujihusisha na ugomvi wa wazazi.
pia kwa ziada ugomvi wa wazazi haujakaa kimwili hukumu zake kama unavyofikiria utamuona nani ana haki nani hana haki,
mbaya sana mzazi akajifanya mjinga na akakubaliana na kauli zako akakusikiliza, lakini ndani ya moyo akasema huyu mtoto leo anajifanya mkubwa wakunikanya mimi,
yaani unacheka na mzazi afu kumbe moyon kakukunjia ogopa sana tena sana ndugu yangu ni hatari mno.
nisikuchoshe na maelezo mengi ila tambua tu hauna uhakimu wowote katika kesi ya wazazi wala hauna hata asilimia ya 000000000.00001 kuingilia mgogoro huo, usije kujaribu kamwe ndugu yangu
Laana ya Mama mzazi ni ya kuwa nayo makini sana yaani, Mie kila siku najitahidi kujiweka karibu zaidi na mama nisimkosee!Na nijuavyo ni kwamba Laana mbaya duniani ni ya Mama Mzazi kwani Yeye ndiyo kwa 85% anakuhusu na pia Yeye ndiyo anajua Baba yako halisi ni nani.
Hili la kumla nyuma mke NI penzi halina laana...haswa Kama mnakubaliana..NI penzi Tu....Unaingilia ugomvi kusuluhisha. hapo hauna laana. Kwa mfano mzee akikuambia uende ukaibe, ukigoma akakuambia atakulaani, utaenda kuiba? Baba anampiga mama nisingiilie kuwaamua kisa nitalaaniwa. Haiwezekani.
Je, ni sahihi wewe kumpiga mkeo au kumtukana hata kama amekukosea? Je, maandiko ya vitabu vya dini vinasemaje?
Tumekuwa na hofu na dhana potofu kuwa ni sahihi kutoingilia ugomvi wa wazazi kwasababu tutalaaniwa ndiyo maana familia za kiafrika zimejaa umasikini, chuki na kiburi.
Baba anatelekeza familia, anaenda kusokojulikana tena akifika huko anaoa. Anawasahau, inapita miaka mingi. Hajui mnakula nini wala mnavaa nini.
Baadae baada ya kukua na kufanikiwa anakuja kwasabb mila za kiafrika hurusiwi kumhoji wala kumkataa mzazi. Anaanza kukupangia kumhudumia. Hapana aisee kupata laana ni pale unapokiuka matendo ya haki (matendo mema) ya mzazi.
Watu wengi wanafikiri kupata laana ni kutoka kwa wazazi ila laana unaweza kuipata kwa mtu yoyote na kutenda matendo machafu. Wewe unamwingilia mwanamke kinyume cha maumbile, ushoga, unampiga mkeo na kunyanyasa watoto wako hizo zote ni laana.
kuna wakati haja kubwa na msingi nikupokea tiba kutoka kwa tabibu, kujua dawa imetoka wapi ni vyema kujifunza kuwa tabibu,
sahihi kabisa nikukwepa kadri tuwezavyoLaana ya Mama mzazi ni ya kuwa nayo makini sana yaani, Mie kila siku najitahidi kujiweka karibu zaidi na mama nisimkosee!