Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

🤣🤣 Dogo kumbe nawe una zamani?
Hawa Millennials waliokuwa wanaandikiana barua wengi mi kaka yao, zama hizo tunatumia signals, kuchora sehemu, kuweka alama, jiwe au tawi la mti ili kufanikisha meeting...... huwezi kuelewa hii kama hujafata bidhaa maduka ya ujamaaa!
 
Do I welcome too? I like the league.

Nimekumbuka maneno ya Abigail alipoiponya familia yake dhidi ya Mfalme Daudi.

Nitakuja DM nifanye kama Mfalme Daudi alipoiona hekima ya Abigail.

All in all I like the way you think and your responding.
 
Mkuu naomba unieleze kidogo hili jambo, nimesoma uzi wako wote huu bado sielewi unakuwaje na maumivu moyoni kwa sababu ya mtu usiyefahamiana naye?
Nafsi yangu na mwili wangu havinidanganyi kuhusu kupenda huyu mwali... Ulisha wahi kusikia watu wanapenda kwa maandishi?
Miaka ya nyuma before internet? Basi na mimi imenitokea
 
Nafsi yangu na mwili wangu havinidanganyi kuhusu kupenda huyu mwali... Ulisha wahi kusikia watu wanapenda kwa maandishi?
Miaka ya nyuma before internet? Basi na mimi imenitokea
Kwahiyo unajenga character yake,tabia zake na mwonekano wake kutokea kwenye maandishi tu! Labda kweli ninyi watu spiritual mnaweza. Endelea kupambania uchakokiamini
 
Kumbe ni bwabwa linatikisa kalio 😁
 
Mshatumiana picha??
Kama bado nashauri mfanye hivyo kwanza.

Nyote ni waanzisha nyuzi mahiri, msijekimbiana huko jf ikajaa nyuzi za mipasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…