ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Unajua kwanini umeulizwa umelewaHapana kaka
We ushalewa?
Mm nachojua wewe ndio de gunner unajianzishia nyuzide Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua
Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?
Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo
Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi
Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa
Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani
Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi πππ
Kuandika h mada n upumbavu mmoja mkubwa ambao mwanaume anayejitambua huwez kufanya.Am not down to low vibrational beings kama wewe. Huna unacho kijua kuhusu maneno niliyo sema
What if we decided to fall in love too, Mom? β€οΈWanaume wa Karne hii
Nguvu za kutangaza hisia mnazitoa wap
I don't follow the rules.Kuandika h mada n upumbavu mmoja mkubwa ambao mwanaume anayejitambua huwez kufanya.
Nenda pm ongea nae mmalizane kimya kimya, kuleta mbele ya watu n ungese.
Nakubali mkuu πI don't follow the rules.
Huna akili ndo maana mapovu yanakutoka bila mpangilio
I told her, but she never wanted to pm meNadhani it's a wrong move, sijui kwanini nahisi hivyo. You should've studied the lady, ungejua hata lifestyle yake na kujua namna gani uende....
....again, this one is a wrong move!!
Nah grandpa, there is no special right way to play it when it comes to seduction Maybe he already cooked her, who knows? π€·πNadhani it's a wrong move, sijui kwanini nahisi hivyo. You should've studied the lady, ungejua hata lifestyle yake na kujua namna gani uende....
....again, this one is a wrong move!!
For someone who doesn't like drama, sidhani...ndio umepoteza!I told her, but she never wanted to pm me
I made the move that could free my worries about her, I just made everything clear
Una kitu mkuu.de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua