π€£π€£π€£π€£ umeanza nongwa zakoSubir amlaze mtoto afu aswitch account ππsoon utaashangaa uzi upo page 3457
Ndo nashangaa...ila nipo makini nawe mpaka nimjueMbona kuna wakaka na wababa humu jamani wengi tu.
Kama we unavomkubali fulaniiiiiii.
Sema mi babe daddy wangu hajatajwa
Baby nina 35 na miezi 10π πata 35 kushuka sio mbaya haniiiππ
Uchachu chachandu na pilipili yenye mbilimbiπ€£π€£π€£π€£ bina kwenye uchachu mbavu zinaniuma
π€£π€£π€£π€£ hebu ukoAcha dharau shauri zako
Kamata chuma hiko
Huku Jo kule Jo π€
Navutiwa na Nyani Ngabu iki kiumbe kinatembea na moyo wangu [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji18]
Toka mwaka 2021 nishamtag mara moja mbili TuπππNdo nashangaa...ila nipo makini nawe mpaka nimjue
sio mbaya kumbe πππ₯°Baby nina 35 na miezi 10π π
π€£π€£π€£π€£π€£ bina ntapaliwa mwenzioUchachu chachandu na pilipili yenye mbilimbi
Nimtaje wakamuibe?? Aku!
mimi nabaki na wewe tu mshikaji wangu pekee...
π³π€£π€£π€£ wee,sema kweli? π€£πππΏToka mwaka 2021 nishamtag mara moja mbili Tuπππ
Nakatiza katiza tu si unajua tena zile namba E zangu hazijui JF no kutajwaπ€£π€£π€£π€£ umeanza nongwa zako
Chawa on one an two ππMimi mwenyewe wangesema nitaje Mabinti ninao vutiwa nao humu .basi Namba moja ungekuwa wewe ephen. Namba mbili ungekuwa wewe ephen na namba tatu ungekuwa wewe tuu ephen. Ikifika siku ya kutaja kama nitakuwa sijauona uzi huo naomba unitag ili jukwaa zima litambue hivyo kuwa mimi nipo upande wako.nasimama na wewe ephen katika hali zote. Hata jukwaa zima likugeuke lakini mimi nitabaki upande wako ephen.
Nakuambiaje nakupenda na PM umefunga mamaa, bc fungua chap then nkutumie namba yangu π afu ufunge kabla wakurungwa hawajajaza PM yako.Mbaga ananipenda huyo anaogopa kusema πππ
Anipe hela nimtaje sitaki kuchafua brand
Nimeshamtaja Lucas Mwashambwa nae ananikuna moyo wanguSi mmeruhusiwa kutaja wengi wengi