Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimepoaa siku hizii!! Nimepataa bwanaa tena bwana haswaaa!!!
Ko akija kunichachua, naenda zangu kulalaaa.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mi fudenge angekuwa karibu nahisi na kichura chura ningerukishwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mi fudenge angekuwa karibu nahisi na kichura chura ningerukishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii sanaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe kabisaa.!! Hanaga mpinzani, mpk server za Mello zinalijua hilo.
Ila mbavu zinaniuma kwa kucheka dada husikii wewee!!!! [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂 Mwenyewe kabisaa.!! Hanaga mpinzani, mpk server za Mello zinalijua hilo.
Ila mbavu zinaniuma kwa kucheka dada husikii wewee!!!! 🙌🙌😂😂😂
Ujue nilitaka nikuulize nikasema aghaaaar liwalo na liwe,shemeji Ninae na ninatamba nae🤣🤣
 
Back
Top Bottom