Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww ngoja atokee hapa upate burudani usiyotarajia nakwambia..!! Now kachachuka km mgonjwa wa umeme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimepoaa siku hizii!! Nimepataa bwanaa tena bwana haswaaa!!!
Ko akija kunichachua, naenda zangu kulalaaa.
 
Niamini mimi kuna watu kwa sasa huko pm wanalazimishwa kutajwa ili wajue kama foleni au mmoja😁😁😁
Waachike tyuuu!! Leo fifi anavunja mahusiano ya watu humu, mana usipotajwa ujue kuna foleni 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizii sina heka heka, afu nime relaaaxxxx!!!
Unajua nn, mapenzi ya kweli yapooo, amini kwambaaaa!!!
🤣🤣🤣🤣 namna hiyo udugu, mapenzi ya kweli hayafi labda km mnaigiza.!!
Ko shem si mpo wote?? 😜
 
Back
Top Bottom