Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimepoaa siku hizii!! Nimepataa bwanaa tena bwana haswaaa!!!
Ko akija kunichachua, naenda zangu kulalaaa.
🀣🀣🀣🀣🀣 Mi fudenge angekuwa karibu nahisi na kichura chura ningerukishwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mi fudenge angekuwa karibu nahisi na kichura chura ningerukishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii sanaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe kabisaa.!! Hanaga mpinzani, mpk server za Mello zinalijua hilo.
Ila mbavu zinaniuma kwa kucheka dada husikii wewee!!!! [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwenyewe kabisaa.!! Hanaga mpinzani, mpk server za Mello zinalijua hilo.
Ila mbavu zinaniuma kwa kucheka dada husikii wewee!!!! πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ujue nilitaka nikuulize nikasema aghaaaar liwalo na liwe,shemeji Ninae na ninatamba nae🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…