Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Nimekuelewa mkuu... Sisi wengine tuchangamsha kijiwe tunapenda kukera nafsi za watu dhaifu ili wawe imara...ππHapana mkuu,
hiii ni chitchat , sasa kuvutiwa na I'd? Mfano mimi smjui yeyote zaidi ya tunavochart hapa tu
Na pia kuna wakati huku nilisoma kuna watu wanajfanysha wanajiita wa kiume kumbe wa kike, au kike kumbe kiume, sasa unaweza kukurupukia ke/me mwenzako(wachache),wanatajana kulingana na mtu anavyojiclassfy kijinsia)
na wapo wanaojuana pia huenda wanajitaja kiuhalisia hatujui
Cha mwisho INASEMEKANA hapa JF Ni panoma sana..
Ahsante kwa kunisifia kaka yako, naona huko juu umejifungulia ID nyingine π€£..ila mdogo wangu ng'ombe uko na vituko.Mpoki namfahamu, ila wewe ni mfupi ka mbegu ya Kitunguu maji π π€£
πππππππππ€£π€£π€£π€£ ungeuliza kwanza huyo sio mtu
Ww siumesema ety Kigi ana watoto mapacha saba na kila mmja na mama ake.Uongo jamani ktk watu wastaarabu nawarespect na kigi akiwemo π
π€£π€£π€£π€£Mwehu kabisa!π€£π€£π€£π€£ ukafungua mbio mbio ufumanie!! Dada mpana wewe!! Hapo ushajipanga kukiwasha kwann anaibiwa ππππ
Dada yangu mpenda pesa hakunaga km wewe πππ
Niambie πJamaniii....
Haya twende lini?? π€£πShangazi anaendaga disco jamani?
Tulia leo nkulambeChelsea mtapoteana leo Arsenal ya moto, mliwafunga wale wale wajinga Man U huku mtakula vitasa leo π€£
Niambie π
NitakujulishaHaya twende lini?? π€£π
Aisee tag 3 na nyingine zime futa, bado mna ita I'd zanguπ€£π€£.Ahsante kwa kunisifia kaka yako, naona huko juu umejifungulia ID nyingine π€£..ila mdogo wangu ng'ombe uko na vituko.
Haya πNitakujulisha
Mwili mtamu huu daah asee
Glenn kumbe nina wifi na hunitambulishi rafiki?ππππ mke halali wa Glen
Hapo tafuta koloni jingine ukajiegeshe kwa leoππππππππ
Mim ntalala wapi leo na usiku ndo huu
ππππππππππAu nije kulala kwenu GF
πππππππππYani huyu Equation x ni kaka angu mama kanituma huku mjini kumfukuza mwanamke wake mpya maan hatumi nyumbani pesa, amesahau kabisa nyumba.Hapo tafuta koloni jingine ukajiegeshe kwa leo