Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mimi wangu yule yule wa siku zote 🤣🤣🤣Sawa muite huyo lamomy muwataje wanaume wanaowavutia
Nacheka km mazuri aiseee.!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi wangu yule yule wa siku zote 🤣🤣🤣Sawa muite huyo lamomy muwataje wanaume wanaowavutia
🤣🤣🤣Sawa braza JoJF nzima ina ladies wawili tu,wengine wote vidume
Ngoja waje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona unataka turudi nyuma udugu? Life linasonga mbeleeeeUlipo nipo ila nikifikiria vocha za bure nabaki kwa shem Mjep japo katufungia vioo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kelphin ana pesa jiweke
Naaam naaam naaam umesema? Sijasikia!😅
Pacha wahi huku Intelligent businessman kuna mtu kakuzimikia 🤣🤣🤣🤣🤣Intelligent businessman
😁😁😁😁intelligent businessman asiye na business anaomba AFTATU bora aje awe kibenten wangu tuu 🥰🥰🥰 shangazi mie sina roho mbaya atatajirika ndani ya mwezi tyu 🥰🥰
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dyadyaaa, sasa yule Ke mie ndo nimuogopeee? Bwana ake akikaa ki less less mie namkwapua ju kwa ju.Jiangalieni,ana mke wake huyo jamaa Hadi majina yao yamefanana wote kina "Ke"jifanyeni nyakunyaku yakiwakuta simo
shem nakutegemea shemLimeisha shem coca umempata hilo pigia mstari 😂😂😂😂
Ukija Mwanza ww nitag Tu nakutumia chimbo fasta ani.Huo ndio ugonjwa wangu, kalio na sura nzuri, niko tayari kumpa nyumba ya urithi; nielekeze hilo chimbo basi, mnitakununulia mirinda 😀 😀
Aua nitaje sichek😅😅Jamani mi wangu yupo tu anasoma hapa comment sijui nimtaje?Tatizo atacheka tu🤔🤔🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi roho mtakafujo si amshukie japo kidogo amtaje tuchangamshe akili
Taja tuKama ni wengi je?
Si mlisema hatuna cha kuwa ofa zaidi ya k sasa tukidiscuss rafiki zake kei bado mnachukia 😂😂😂😂Kina mama JF lini mtaanza kujadili mambo ya maana?
Vipi ile fantasy yetu, tutaitimiza lini?Mwanamke nnaempenda ni Bantu Lady ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😳😩