Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Dah sikuwah kuwaza aloo
maskin dad wa watu kaninunia na kuninunia afu huku mnaita n mke wang

Ningejidai
Naweee ulikwamaa wapiii had akununieee? Ubadilishe Yale mapazia, huenda atakuchekeaaa!!!
Ulimkorofisha nn DA ke? Mbona hana mbambamba yuleee?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana namaanisha wanawake kwa ujumla tena unakuwaga serious kabisa mpaka nakushangaaga, kuna siku nilikuuliza siku hizi umekuja kuwaje unakumbuka ulinijibu nini, yani binafsi mwanaume akishakuwa misogynist na kuanza kutukana au kudharau wanawake huwa namuona kama muuaji
Ni vile tu unachuki nami ila mm naheshim sana wanawake. I know their values
 
Naweee ulikwamaa wapiii had akununieee? Ubadilishe Yale mapazia, huenda atakuchekeaaa!!!
Ulimkorofisha nn DA ke? Mbona hana mbambamba yuleee?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohoo dah mambo mambo tuu
 
Kama hajatajwa ujue kimeo huyo.

Raha ya mume kugombaniwa na majike shupa 🥰🥰🥰😍😍 hapo ndo unajua nimeolewa na chuma kweliii 🥰🥰
Mbona ww extro hajatajwa wizo 🤣🤣🤣🤣
Wamtaje beibyy wangu hawajitaki?? Hawaogopi?? Uzi utafungwa huu hilo mbungi nitakalolianzisha 🤣🤣🤣😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom