Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Nimemwambia kazi kwake atatumia nini kati ya meno au opena kufungua coca yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atumie kisu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo nshawahiwa, ila JF jamaniiii.
Una swampaaa jukwaan na fudengee, unaenda kuliwa chombo na fidodidoo.
Woiiiiiiih
Kwahiyo udugu unaliwa nani?? 😂😂😂😂
 
baby wangu naomba unitaje🙁🙁nakuambia kwawema tuu

usije kunilaumu baadae☹️☹️
 
Mtaje jirani yangu leo alale na viatu 🤣🤣🤣
Humu leo tunataja kwa machale zile ID ambazo hazichati sana ndio unataja unajua ukute hayupo Duniani sina wa kugombania nae😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom