Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
ID iliyommention Intelligent businessman Ina wiki mbili tokea ijiunge JF. Sio ya kwake kweli? 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiko cheo Kikubwa sana 🤓, we niite jobless pro max tu 🤒🤓shekhe Intel 😂😁
Ziko 3 mzee🤓🤣,ID iliyommention Intelligent businessman Ina wiki mbili tokea ijiunge JF. Sio ya kwake kweli? 😎
Kumaanisha kajitaja? Popote ulipo Intelligent businessman acha ufanyayo na utueleze vizuri nani alokutaja? Watu wamefukua wanaona mbona 2weeks id🤣🤣🤣ID iliyommention Intelligent businessman Ina wiki mbili tokea ijiunge JF. Sio ya kwake kweli? 😎
Mkuu Sina mchezo huo, beside I'd zilizo nitaja ni 3.Kumaanisha kajitaja? Popote ulipo Intelligent businessman acha ufanyayo na utuelezu vizuri nani alokutaja? Watu wamefukua wanaona mbona 2weeks id🤣🤣🤣
😁😂Hiko cheo Kikubwa sana 🤓, we niite jobless pro max tu 🤒🤓
Basi kwanzia leo na kuendelea nampa kazi mtu azifuatilie ila ukiweka shekeli kwenye ile a/c tunamaliza kilakitu hapaMkuu Sina mchezo huo, beside I'd zilizo nitaja ni 3.
2 za 2020, 1 ndo hiyo hata mi sijui🤣😂
Una hangaika chief🤣😂, for real hata mi nime shangaa.Basi kwanzia leo na kuendelea nampa kazi mtu azifuatilie ila ukiweka shekeli kwenye ile a/c tunamaliza kilakitu hapa
Couse huna bayaUna hangaika chief🤣😂, for real hata mi nime shangaa.
Nadhani ndo mtu aliye pata mention nyingi😊😊
Pamoja mkuu, more love less egoCouse huna baya
Hapana mkuu,Uzi wa kuitana mashoga wadangaji Malaya na singo maza...
Sawa mkuuHapana usinitaje, utapeperusha njiwa.
Endelea kuririrka
Mr Right umeshamtaja?? Au ndio Ile if wanawake ni wawili tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizoooo una nn wee? Khaaah
Kwa hiyo wewe umecoment Kama nan katika hao ulio wataja??Uzi wa kuitana mashoga wadangaji Malaya na singo maza...
Nawaona tu, waambie mke wa mtu sumu na maziwa hayasaidii siku hizi.
umewazidi wote ♥️Mama la mama
Sio kujizeesha Mjukuu, umri wangu ni kweli umeenda now 😜Aisee....ila nakuita Daddy kishingo upande hata siamini Kabisa kama umezeeka..,,,, Grahams nae hupenda kujizeesha
Mmhhh wewe sema unataka uwajue au ndiyo muhitajiBila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa make sure una-show love ❤️ unaweza kumpata mke wa maisha yako.
Wa kwangu mtamkuta kwenye comment, haya ladies on the stage show love kwa kidume kinachoumiza feelings zako