Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Wewe na mama J nani atapata nguvu ya kutaja jina lako 😁😁Tatzo Wana makoloni kibao😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na mama J nani atapata nguvu ya kutaja jina lako 😁😁Tatzo Wana makoloni kibao😂
Huwezi kunifikisha huko 😅😅Na bado mpk uwe mpweke ukose hata wa kukupa hi 🤣🤣🤣
Hahahahaha....sawa sawa mzee mwenzangu fanya yako .hao U-25 ndio wenyewe ila angalia isiwe umri wa passportHapa nimeona ka-under 25 kamoja, nataka nijaribu vimekaaje hivi navyo, wazee wenzangu wananinyima nini🤣
HahahahahaTatzo Wana makoloni kibao😂
Nimeangalia kweli siioni, itakua imejifuta
Nilifuta mwenyewe bhana, nisiwasingizie modsUtakuwa una bifu na mods basi...😁
Kwani navyo vinakata umri kwenye passport zao?🤣 mzee mwenzangu una uzoefu sana!Hahahahaha....sawa sawa mzee mwenzangu fanya yako .hao U-25 ndio wenyewe ila angalia isiwe umri wa passport
🤣🤣🤣🤣 nikutajie mke mwenzio au nikaushe??Wanajua mwenye mali nipo ole wao wamtaje ntararua papuchi ya mtu miee alaaah 🥰🥰🥰
Nilifuta mwenyewe bhana, nisiwasingizie mods
🤣🤣🤣🤣🤣Hatariii katulia kama hayupoNduli anasikilizia kwanza nani atamtaja mahi wake aanze kuja na id zake kuchafua hali ya hewa 🤣🤣🤣🤣
Hakuna wa kutuchamba humu ww tulia!! Zama zao zimeisha ss hivi utawala mpya hutaki ndio hivyo, unataka ndio hivyo 🤣🤣🤣🤣Unanitafutia ugomvi...utanisaidia nikichambwa 🤣🤣
Tulia na uone 🤣🤣🤣🤣Huwezi kunifikisha huko 😅😅
Wewe ni mzee haunivutii kama lucas😂🤸Halafu mbona wewe hadi muda huu hujanitaja...
Taja dadekii🤣🤣🤣🤣 nikutajie mke mwenzio au nikaushe??
Anasikilizia anasoma upepo kwanza atoke vipi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatariii katulia kama hayupo
🤣🤣🤣🤣 nipe hela wizo mana naenda kununua ugomvi na kuongeza maaduiTaja dadekii