Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Wewe ni mzee haunivutii kama lucas😂🤸
Lucas mwenzako nimemtaja
Kuruta unaniita mimi mzee...😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mzee haunivutii kama lucas😂🤸
Lucas mwenzako nimemtaja
Wewe unajiona kijana? Upara plus uchebe una mvii😂Kuruta unaniita mimi mzee...😃
Naomba link jf app ya zamaniWengine mishauo hatuwezi....Yani hata ukinipea siendi kutangaza 😎
Aweeee....wakija waje wamejipanga au sioHakuna wa kutuchamba humu ww tulia!! Zama zao zimeisha ss hivi utawala mpya hutaki ndio hivyo, unataka ndio hivyo 🤣🤣🤣🤣
Mume tunaye na tunatamba naye
Sina hiyo link. Check play storeNaomba link jf app ya zamani
Mi nataka kuwa PA wewe utakuwa mpenzi wake shida ipo wapo bff 🤣Bff urafiki umekushinda nishaona dalili zote 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe unakubalije kutajwa na bff wangu halafu unajichekesha?? Hilo ua vipi na kiss 🤣🤣🤣🤣🤣
Fitna zako zimeisha nguvu. Missy gf ashaanza kueleweka pm. Na akitiki tunakutafutia ban 😅😅Tulia na uone 🤣🤣🤣🤣
Wafanye km wanajigusa 🤣🤣🤣🤣Aweeee....wakija waje wamejipanga au sio
Why unataka ya zamani?Kanichukulie unitumie playstore ipo hii mpya
Hahahahaha..mzee mwenzangu nikuache na project zako .kila la kheriKwani navyo vinakata umri kwenye passport zao?🤣 mzee mwenzangu una uzoefu sana!
Mpya haivutiiWhy unataka ya zamani?
Wewe unajiona kijana? Upara plus uchebe una mvii😂
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa huyo nakupa hongera bff umejua kuchagua, mi na yy mtu na rafiki yake namzingua tyuuu!!Mi nataka kuwa PA wewe utakuwa mpenzi wake shida ipo wapo bff 🤣
Hunidanganyi wewe!?🤨🤨
kuruta unajua kuzoom, mvi na upara sio uzee ingawaje huwatokea zaidi wazee...
hizo vitu hupewa watu wako na wisdom, wealth...
Pole sana ndugu mtazamaji bff wangu kuna dume la nguvu kashalitag 🤣🤣🤣🤣Fitna zako zimeisha nguvu. Missy gf ashaanza kueleweka pm. Na akitiki tunakutafutia ban 😅😅
Hunidanganyi wewe!?
Basi subiri nikutajeWhy would I do that mama?