Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Mi nataka kuwa PA wewe utakuwa mpenzi wake shida ipo wapo bff 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa huyo nakupa hongera bff umejua kuchagua, mi na yy mtu na rafiki yake namzingua tyuuu!!
Mh. Waziri mpole mimi siwezani naye ntamchosha.! 😂😂😂😂
 
Fitna zako zimeisha nguvu. Missy gf ashaanza kueleweka pm. Na akitiki tunakutafutia ban 😅😅
Pole sana ndugu mtazamaji bff wangu kuna dume la nguvu kashalitag 🤣🤣🤣🤣
Wewe utaishia kusindikiza mwenge kwa mbio tyuuu.!! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom