Bipolar yule,ndo shangaa na wewe.Yule ni mjinga.Kwanza hata kupulish transactions ambazo alikuwa anamtumia Bwana yake ni ujinga tu.Si alimtumia kiroho safi ?Kwa nini analalamika?Hilo la ushoga itakuwa anamsingizia tu.Kwa hiyo hakujua kuwa mumewe alikuwa shoga kabla ndoa?
Kuna Ile mwanaume anapambana ila mambo hayakai sawa....na unakuta tayari mnaishi pamoja au kitu kama hicho....Mimi kwanza mwanaume akiniomba hela tu,baasi .Yaani ninamuona kama mavi.Hao wanawake wanaohonga ni Nye ge tu zinawasumbua,basi na vile vijana wanajituma kwenye 6 ×6 ,baasi wanawake wanadata kabisa.
Hapana mi sitaki 50/50 kwenye swala la mwanaume asietaka kujitumaNi mambo ya 50/50 wanawake wenzetu wakishika pesa wanaona wana hakimiliki ya kushika nafasi ya wanaume
Kwa kweli uenda sijajua....Kama hujui hata show wanapewa vipi huwezi kujinafasi sana kuongelea hali zao.
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Mijulubeng.....Wako desperate na mijulusi
mi naona ni ushamba tuuNa dada WA taifa kasema ....wadada WA uk ndo michezo Yao....au like baridi
Nakujibu kwa kirefu Dada Masai,Dada [emoji23]
Niambie ukweli wewe unaweza?
Sizungumzii mwanaume mtafutaji anazichanga ila mambo hayakai fresh....hapananamzungumzi "marioo"
Kitu kingine mwanamke akipenda lazima atajitoa tu Kwa ampendaye ila sio kula nauli au kutegemea yeye ndio ahudumiwe tu sio kuhudumia inshort mapenzi ni two way traffic wagogo wanasema "muhoko kubita, muhoko kuuya"Nakujibu kwa kirefu Dada Masai,
Huyo unayemshangaa anawezaje ni kua amesha timiza ndoto zake zote sasa alichobakiza ni kupata penzi moto moto ili afe kwa tabasamu na sio maumivu,
Niliona interview ya Zari alisema alimuomba mumewe mahari ya Qur'an pekee, hakuona kitu kingine cha kumuomba sababu yeye kila kitu anacho, pesa, magari mazuri, vacations nchi mbali mbali, n.k
Sisi tunaona haiwezekani kwa kua bado tunatafuta ila tukishafika levels za kua na kila kitu unabakiza furaha tu na furaha ya mtu wa miaka 40+ au 50+ ataipata kwa wachini yake sio wazee wenzie waliojichokea kwa maradhi ya kudumu ama wengine wameoa wake zaidi ya mmoja utapata wapi kujiachia na kupetiwa petiwa atakavyo,
Nasikia hao Marioo wanajua mahaba kama wanaenda kozi vile na mama akikolezwa vema why not asitoe ahsante.
Kitachotokea atatafuta WA kumliwaza na machungu....na Kwa kuwa kashaonesha miamala watu watamfata kumliza...then guess what atapigwa tena na kitu kizitoMsukuma ametisha ,Mbuta Nanga Dish limecheza halafu Da Mange Kashamuondolea Confidence kwahiyo ashajikataa.
Ally asitolewe. Amekula pesa za diva na DC jokate saana.Sasa mwsho wao wamegeukia kwa wanaume wenzao, ukimtoa Kiba tyuuh hapo.
Hao sahv ni chakula cha wanaume wenzao, walisha zoea dezo lol
Nina ndugu zangu maskini wengi sana...nina wadogo zangu wanahitaji mitaji....Nakujibu kwa kirefu Dada Masai,
Huyo unayemshangaa anawezaje ni kua amesha timiza ndoto zake zote sasa alichobakiza ni kupata penzi moto moto ili afe kwa tabasamu na sio maumivu,
Niliona interview ya Zari alisema alimuomba mumewe mahari ya Qur'an pekee, hakuona kitu kingine cha kumuomba sababu yeye kila kitu anacho, pesa, magari mazuri, vacations nchi mbali mbali, n.k
Sisi tunaona haiwezekani kwa kua bado tunatafuta ila tukishafika levels za kua na kila kitu unabakiza furaha tu na furaha ya mtu wa miaka 40+ au 50+ ataipata kwa wachini yake sio wazee wenzie waliojichokea kwa maradhi ya kudumu ama wengine wameoa wake zaidi ya mmoja utapata wapi kujiachia na kupetiwa petiwa atakavyo,
Nasikia hao Marioo wanajua mahaba kama wanaenda kozi vile na mama akikolezwa vema why not asitoe ahsante.
Mama mkwe wangu yupo kwenye bajeti yangu ya Kila mwezi maana ninmzeee hajiwezi....nazungumzia kijana mwenye nguvu zake asietaka kufanya kazi nimpe pesa zangu wakati Nina ndugu kibao Wana matatizoInaonekanaa Hela umeiona Ina thamani kubwa sana kuliko mapenzii...inaonekanaa hata mama mkwe wako akiumwa unaweza usimpeleke hospital kisa tu Hela Yako ngumu kutokaa ,,acha roho mbayà madam
Hahahahahaha Kwa hiyo mnafnha ili kusubiri miamalaWe tena umemweka mbuzi kagoma tunaanziaga mbususu uku unapanda juu utasikia wewe unafanya Nini unamjibu kwani haupendi ukiendelea anaanza kunena Kwa lugha ka yupo Kwa mwamposa basi mkishamaliza show utaona muamala huo baby utanunua vocha [emoji28][emoji28]
Mwambie Kuna wanaume wapo tayari kumlea yeye acheze na rimoti tuHumu JF mwanaume anakufuata DM eti anaomba hela,hapo anakuambia yupo ndani kwake anaangalia bunge.Kweli mwanaume unashinda ndani kuangalia bunge?Si bora utoke nje ukabebe hata zege jamani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna Ile mwanaume anapambana ila mambo hayakai sawa....na unakuta tayari mnaishi pamoja au kitu kama hicho....
Ila Kuna wale kazi Yao kuvaa kobas za mpira na soksi nyeupe aaaaa maisha nikimuona naita polisi
Wanajiendekeza balaaa ....hapa hatureveal majina ya watu...Hao wanaume WA sinza na kinondoni.
Kujiendekeza.
But kuna wanawake na mioyo Yao. Wanawahudumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Mwanamke Una akili saaaana.Nakujibu kwa kirefu Dada Masai,
Huyo unayemshangaa anawezaje ni kua amesha timiza ndoto zake zote sasa alichobakiza ni kupata penzi moto moto ili afe kwa tabasamu na sio maumivu,
Niliona interview ya Zari alisema alimuomba mumewe mahari ya Qur'an pekee, hakuona kitu kingine cha kumuomba sababu yeye kila kitu anacho, pesa, magari mazuri, vacations nchi mbali mbali, n.k
Sisi tunaona haiwezekani kwa kua bado tunatafuta ila tukishafika levels za kua na kila kitu unabakiza furaha tu na furaha ya mtu wa miaka 40+ au 50+ ataipata kwa wachini yake sio wazee wenzie waliojichokea kwa maradhi ya kudumu ama wengine wameoa wake zaidi ya mmoja utapata wapi kujiachia na kupetiwa petiwa atakavyo,
Nasikia hao Marioo wanajua mahaba kama wanaenda kozi vile na mama akikolezwa vema why not asitoe ahsante.
Maisha ya mjini hayo dada muziki na maishaHahahahahaha Kwa hiyo mnafnha ili kusubiri miamala
Kama unajichanga hazitimii tupo wote baby...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mna roho mbaya saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Am sooo lucky thank God.....jambo ambalo watu wanalipia wapewe napata for freeeeMaisha ya mjini hayo dada muziki na maisha