Mamndenyi aliachwa hata kabla ya ndoa
sijui Madame B ilikuwaje atasema mwenyewe
rambi rambi kwani kuna msiba hapa hebu rekebisha kauli yako
hao ukiwaita watanikuta mezani na Lady doctor, mimisa, Heaven on earth na Husninyo. Na wao nitawakaribisha kinywaji....
jamani mwezi wa ramadhani unakaribia Arushaone anamuoa Lady doctor ili akampikie uji na magimbi.
Asprin nitamuachia kesho.
CC:Mpe Kaizer
Mpenzi temana naye huyo Baba V ameshaingia PENDAPENDA CLUB hana tofauti na St. Paka Mweusi na Filipo.
amu naon unatapatapa kutaka kujua kwa nn naolewa
kwa msaada zaidi waulize Passion Lady na Evelyn Salt wakupe sababu
That's why I love U
Bora!
Hili lijamaa bora lioe!
Limeshatisha kutujeruhi mno kunako mizigo zetu!
That's why I love U
Nadhani tumuitie Kaizer 'ng'oa kucha meno na kucha group' akiendelea kukusumbua mpenzi. Au ww una ushauri tofauti?