Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Shida ya ninyi mashabiki wa WCB mnaona kila anaewakosoa ni Team Kiba na hamshauriki. Huwezi Kumlinganisha Jide Jay Dee ambaye yuko kwenye fani kwa zaidi ya miaka 20 na Zuchu ambaye hana hata mwezi kwenye fani. Zuchu bado sana. Aendelee kujituma afikie angalau level za Akina Mwasiti, Ruby ama Nandy. Msimpe bichwa sana
 
CASE CLOSED.
 
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Wewe mbona unang'ang'ania watanzania watanzania lini tulikutana kwa pamoja ns kumpitisha huyo mtu wenu? Anafanya vzr kweli ila bado mapema sana msimjaze kichwa akaharibikiwa na sidhani km kuna anaemchukia wasi wasi wenu tu wcb na km yupo atakuwa mpuuzi kumchukia mtu asiyekujua!
 
Watanzania gani?

Ama tunao comment hapa ni wa'kenya?

Too much promotions erode brand
Mm pia nimemuuliza hili swali maana kakazana mwenyewe watanzania wamempitisha watanzania wamempitisha!
 
Tunapimaje kuwa huyu ni mkali na yule sio mkali mkuu ?

Hiko kipimo cha ukali ni kipi ?
 
Kikubwa alichofanya Jay dee ambacho Zuchu na wasanii wengine wakike hawawezi kukifanya ni "consistency", mara ya kwanza umesikia hit song ya Jay dee ni lini na mara ya mwisho ni lini.?????hiki kitu wameshindwa kina Stara thomas, Ray c, Vumilia e.t.c

Kwasababu hizi coments zitakuwepo tuombe uzima tuwe hai mwaka 2030 alafu ntakuuliza yukwapi Zuchu.!!

Mbona hata Vanessa mdee mlisema ni mkali zaidi ya Jide, sahivi yukwapi.???

Hapa East Africa, HAkuna, nasisitiza hakuna wakumfikia Jide kwa wasanii wa kike.!!!

To remind you: MNAMKUBALI SANA BOSS WENU DIAMOND KWASABABU YA KUBANIWA NA CLOUDS LAKINI BADO AKABAKI JUU, SASA HICHO ALICHOFANYA DIAMOND CHA KUIDINDISHIA CLOUDS NA AKAFANIKIWA AMEKIFANYA AKIWA NA MAMENEJA BORA WA BONGO FLEVA WA3(SALAAM, TALE, FELA), JIDE ALIKIFANYA AKIWA PEKEYAKE NA AKAFANIKIWA TENA HAO AKINA FELA NA TALE WALIKUWA UPANDE WA CLOUDS,..

NI WASANII WA3 TU WALIOWAHI KUINGIA BEEF NA CLOUDS NA WAKAFANIKIWA KUENDELEA KUWA JUU...

1.SUGU
2.JAY DEE
3.DIAMOND

Ndugu, Zuchu hajafika hata levels za Nandy, Ruby, sahivi yupo zile level alizokuwaga yule anaitwa Rachel kizunguzungu tofauti yao ni EP tu..

Akitoka hapo itabidi a climb kwa Nandy + Ruby + Linah, akitoka hapo aende level za kina Mwasiti + Vanessa mdee, akitoka hapo aende level za kina Ray c , akitoka hapo mpe miaka 10 awe anafanya vizuri kwenye game ndiyo tuje kumfananisha na Comando...
 
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
WaTanzania wapi?
mbona comments za waTanzania huko juu zinasema tofauti kabisa

Binafsi sifahamu hata wimbo moja wa Zuchu namuona tu Nikiscroll Instance..

Pia tujifunze kukubali kila kitu na zama zake,
Jide ana agemates wake ambao watabaki kuwa wapenzi wa nyimbo zake
na Zuchu ana agemates wake ambao wanaelewa nyimbo zake.
 
Baby Hornet habari ya kimara.????
 

bora mmekuja kunitetea huyu jamaa tena alikuja na uzi wa zuchu nikamkosa alinitukana balaaa nilimwambiaga zuchu bado sana
 
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Hao waTanzania na mimi nimo?
Tusikoseane adabu. SIHUSIKI
 
Promota wa pambano kafeli katika maandalizi .uzito wa wapambanaji haulingani huwezi kulinganisha commando na kuruta lazima kuruta atapigwa knockout hata kama ana undugu na mkuu wa majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…