Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

We umesema Diamond kafanikiwaa kwa sababu yupo chini ya mameneja watatu Kama Ni hivyo kwanini hao mameneja wameshindwa kuwafikisha wasanii waliowahi kuwasimamia kwenye level ya Diamond?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ndio kama wewe mkuu.
Nilivyosikia nikajua Zuchu ni aina ya mafuta au sabuni kwa sababu hilo jina kwa haraka haraka limefanana na puchu yaani kupiga punyeto.
Samahani mimi nimgeni ...Zuchu ni label au sabuni au nini samahani sifahamu chochote nimepotea njia.
 
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Zuchu na wasani wote wa wasafi hawawezi kulinganishwa na mimi. Sijaona wasani pale hata nyimbo zao huwa sisikilizi kwanza. Mimi labda nilinganishe na akina Beyone etc. Nyimbo kwanza hawajui kutunga. Wanatunga nyimbo hazina maana. Kinacho wabeba ni video tu na midundo. Ukisema waimbe acapella hao watatoka na zero.
 
Level za lina !? You can't be serious ..mbona Mimi hata nyimbo zake sizijui aise
 
Well said
 
Ama kweli naamini ushabiki ni ugonjwa.
sasa hapa ndio kaimba utumbo gani wa maana hadi watu wamfananishe na Jide.
Yaani kumwambia mpenzi wake amsamehe ndio imekuwa bonge la utunzi.
Mimi uimbaji wake sioni utofauti na akina msaga sumu tena afadhali hata akina msagasumu nyimbo zao zinachezeka na kuamsha popo.
Kwa hiyo washabiki anaweza kuwa nao wanyoa viduku hatukatai lakini kumfananisha na Jide ni sawa sawa kumtukana Jide.
Jide ni msanii wa karne huwezi kumfananisha na vikaragosi vinavyoimba matusi,vinavyovuma kwa miaka miwili na kupotea.
Tuheshimiane,naumia sana kuona watu wanawatukana waasisi wa Bongofleva.
 
Ni kweli aisee nyimbo zake zimepooza mno,bora hata nampa papa ukiipiga club inaamsha popo.
Mimi ni shabiki wa WCB, lakini lazima tukubaliane Kipaji cha Zuchu ni cha kawaida mno, yuko highly overatted, (Zuchu - WCB = Zero)Siwezi kumfananisha hata na Gigy Money wa Nampa Papa au Queen Darlin
 
Unajua hapo nilikuwa naongelea kufanikiwa kitu gank.???? Kwani hapo nimesema kufanikiwa kimuziki, au kufanikiwa kushinda beef lake na clouds.!!
We umesema Diamond kafanikiwaa kwa sababu yupo chini ya mameneja watatu Kama Ni hivyo kwanini hao mameneja wameshindwa kuwafikisha wasanii waliowahi kuwasimamia kwenye level ya Diamond?
 
Wewe ni mpumbavu
 
Chocho alizo pita Lady Jay hakuna msanii atakae fikia level zake za music
 
Unajua hapo nilikuwa naongelea kufanikiwa kitu gank.???? Kwani hapo nimesema kufanikiwa kimuziki, au kufanikiwa kushinda beef lake na clouds.!!
Diamond ana media, ana mashabiki wengi wanaomsapoti kuliko msanii yoyote kashinda Vita dhidi ya clouds kwasababu ya ukubwa wake sio kwa sababu ya mameneja wake
 

Huu nao ni ujinga kaama ujinga mwingine hivi mtu ku like kitu ndio amependa au kuchukuzwa nacho? Mimi humu mbona watu huwa wananitukana natoa like tuu! Mtu kutoa like inaweza kuwa na maana nyingi sana pengine ni kuheshimu maoni ya mtu juu ya watu!


Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kumfananisha Zuchu na Lady Jaydee kweli.....labda huyo mtu kazaliwa mwaka juzi!

Zuchu awezi fika hata chembe level za Lady Jaydeee... Zuchu ana kazi ya kumfikia kwanza Nandy na wengine ndio awekwe karibu na level za Lady Jaydee!


Zuchu usikubali kuvimbishwa kichwa na hawa mashabiki wajinga ukajisahau....ukweli ni kwamba Zuchu bado hajafanya lolote la kumfanya awe level za hao waliotajwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…