Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mtazamo sie kihivyo.Clouds imeuzwa mda mrefu sana kwa Lowasa na Manji.hivyo hawana nguvu hawo akina Ruge na mwenzie.Na isitoshe Jide kesha fungua Radio Station yake.
Mwenzangu tungeaibikaje team anaconda maana tulikuwa na vihele hele
Sasa ukijua jinsia za wana jf itakusaidia nn wangu??
Sasa ukijua jinsia za wana jf itakusaidia nn wangu??
Mi con faida yoyote ya kuto kupatana hv huyu dada analingia nn chuki haijeng hii Dunia tunapta shaul zenu shabikien ushetwan
Hivi huwa mnashindwa kuandika neno zima? Huwezi kuandika "sioni" eti con huu mwandiko huwa unanichosha!
Inawezekana isiwe kweli but I can sense something on her tone... yaani amekanusha kwa adabu sana kuliko ilivyo kawaida yake ingawaje amesema "hii kitu haiwezi kutokea" wakati bado ni dada wa makamo na ana maisha mrefu mbele!Kupitia ukurasa wake facebook Jaydee amesema
;" Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu.""
Vyovyote iwavyo, kufungua radio station sio kazi... hata mimi naweza! Shughuli ni kuifanya iwe top na kubaki pale!kafungua lini
inaitwaje
masafa yake
we need fact sio porojo
Sasa hayo mashaka yako yanakusaidia nn??
Ni magazeti ya Shigongo au. Jd hajafilisika kwa taarifa ana hela ndefu clean kabisa. Pile zenu Kusaga na Ruge wazee wa vimboto.
Vyovyote iwavyo, kufungua radio station sio kazi... hata mimi naweza! Shughuli ni kuifanya iwe top na kubaki pale!
umeona eeeh!hv wasanii hawana lyf bila clouds?thnx to jide mana team anaconda nlihs kuvuliwa nguo
Ntatamani nikuone....